Namna ya kumkamata mwanaume!!


Uko sawa sana!
 
Niliweka vigezo hivyo kwa mpenz wangu bila kumwambia
Alinionesha 90% ya hayo
Nina miaka kumi ktk ndoa maisha swaafi
Muhimu mademu siku hizi wanaigiza sana lyf kitu hiki kinawashinda wanaume na wao wanakuwa wasanii na hata ndoa inaweza ikafingwa lkn ya wasanii watupu hawako kihalisia
 
Sorry sasa unakuta sku ya kwanza anaka penz hutamuoji unania gan na mm au ndo utampa ?alaf maswala ya malengo baadae??????¿
 
nayapenda sana maisha movie wanaume wa mule tunakuwa na magari ya kifahari yakuwateka madada wa mjini kumbe tunaazimishwa ha ha
 
Mimi mwenyewe nimekutana nayo juzi,nimekutana naye siku ya kwanza tukapeana namba za simu then baada ya kuanza kuchat tu naulizwa utanioa...majanga
 

Imekaa vizuri hii,well done
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…