Namna ya Kula embe dodo lililoiva.

Siku ukiona unasonsomola na halisonsomeleki ujue sio embe dodo hilo. Ni embe ng'ong'o! Nyonya tu yaishe.
Sasa embe dodo limeiva vizuri unaambiwa ule na chumvi! Huyu kazoea vidaku!

Dada yangu una vituko sana wewe!!
 
mhhh hii yako ndo naisikia!!! Hebu nipe ujuzi wa kula kokwa kwa chumvi...pengine ni kitu kipya hiki atu....
lols

Ha fuatilia hapo juu wenzio nimewaeleza hapo juu na wamejua hebu check hapo juu. na kabla ya kucheck jua hivi kokwa hailiwi ina rambwa!
 
Eeeh hadi nimeishiwa nguvu, Eee Jehova watazame vijana hawa.
 
Hii sio simulizi hili ni fundisho la jinsi ya kula embe dodo lililo iva, sawa kaka?

Kwanin ule embe dodo gizani? Au ya nini uzime taa uwashe mshumaa ndio ule dodo? Si utajipaka manjano mwilini? Au metaphor?
 
Linaloongelewa ni EMBEDODO DODO au EMBEDODO NANIHINO nimeshindwa kuchangia,nasubiri ili nitoe mchango wangu maana dodo tamu hasa likiwa la mdondo
 
Kwanin ule embe dodo gizani? Au ya nini uzime taa uwashe mshumaa ndio ule dodo? Si utajipaka manjano mwilini? Au metaphor?

Embe dodo haliliwi gizani linaliwa kwenye mwanga hafifu.
 
Embe dodo haliliwi gizani linaliwa kwenye mwanga hafifu.

Aisee Annael una embe dodo mpendwa? nimepata hamu ya gafla. hata la kununua tu kama la kupewa bure itakuwa ngumu

natanguliza shukrani..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…