Jamani yuu pipo? Siku mkishindwa kusonsomola maembe dodo yenu, msilaumu! Lol
Na malecture wanawasubiri wakamenywe na kuliwaaa
Chumvi inatiwa kwenye kokwa lake.
Kokwa haliliwi ila huwa linarambwa. Usilile kokwa bwana ramba na utasikia utamu wake kwa mbali ukiwa umetia chumvi.
Toa ulimi wako taratibu. Ufanye uwe mwembamba, pitisha kwenye kiini chake huku ukizungusha ulimi kama unaandika namba nane, fumba macho kwa mda wa dakika tatu huku ukiramba kokwa. Fumbua macho kwa sekunde kadhaa then fumba macho tena. Utakapo una kuwa kokwa imeanza kutoa maji endelea kama dakika kadhaa then anza kula embe zima uliloliweka kwenye sahani safi.linarambwaje sasandio hapo?
hii yote ni furaha ya kupata mkopo wa HESLB
Toa ulimi wako taratibu. Ufanye uwe mwembamba, pitisha kwenye kiini chake huku ukizungusha ulimi kama unaandika namba nane, fumba macho kwa mda wa dakika tatu huku ukiramba kokwa. Fumbua macho kwa sekunde kadhaa then fumba macho tena. Utakapo una kuwa kokwa imeanza kutoa maji endelea kama dakika kadhaa then anza kula embe zima uliloliweka kwenye sahani safi.
Lol!
Ni feki la std 7 lilikuwa lenyewe. Ana uhakika wa kwenda tabora boys.
My Tabora Boys bana, ukifika lazima ufaulu kutokana na jina na majigambo ya ukweli kua sisi tuliochaguliwa Tabora Boys ndio vichwa (THINK TANKERS) wa Tanzania. 2007 Form 6 Graduate pale PCB. NINA MAHABA YA KWELI NA HII XUL......!
Jamani yuu pipo? Siku mkishindwa kusonsomola maembe dodo yenu, msilaumu! Lol