Namna ya kujua baadhi ya daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia abiria tu ukiwa Dar es Salaam

mkuu c huwa zinaandikwa kwa fac ya dereva ama...
 
Mbavu zangu jammani JF raha sana wakati mwingine.
 
Lakini hakuna daladala za kimara siku hiz.

Ni mbezi na kibamba
hata ukipanda mwendo Kasi waweza jua abiria wanaoelekea kimara .Ukiona weupe weupe wengi na wenye meno yaliyoza oza wanakimbilia mwendo Kasi jua linabeba watu wa kimara Hilo hata kama hukuona kibao.Kama unaelekea kimara wewe ingia haraka
 
Hauwezi ukapachoka dar ukafulahia mikoani labda kama upo nje ya Tanzania kabisa, kwa bongo hakuna kama Dar mane.
Dar Huwezi ichoka hasa Kama ni mpangaji uswahilini.Wapangaji wa miaka mingi uswahilini ambao hawana hobby ya kujenga nyumba zao wakiandika kitabu Cha vituko na vichekesho vya kupanga nyumba uswahilini dar kinaweza hicho kitabu kuwa best seller duniani.Uswahini dar Sio rahisi kumkuta mgonjwa wa pressure full kucheka.Watu uswahilini hawasomi magazeti .Magazeti ya uswahilini ni umbeya au jina la kisasa linaitwa ubuyu ambalo lilibuniwa KU replace jina la umbeya baada ya jina umbeya kuonekana limekaa kimbeya mno na linadhalilisha wambeya na kuwaumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…