Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu c huwa zinaandikwa kwa fac ya dereva ama...Ukiwa Dar waweza jua daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda. Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hiyo daladala ni ya kuelekea Temeke.
Ukiona wanaopanda basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula, hiyo daladala ni ya kuelekea njia ya Mikocheni, Masaki na Mwenge.
Ukiona daladala wengi wanaopanda ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala ya kwenda Kimara.
Ukiona daladala ina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana kama 'full time' wako serious usoni hiyo daladala ni ya kuelekea Gongolamboto.
Ukiona daladala jingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hiyo ni daladala ya kuelekea Kigogo
Hauwezi ukapachoka dar ukafulahia mikoani labda kama upo nje ya Tanzania kabisa, kwa bongo hakuna kama Dar mane.Nilishàpachoka dar! nimesoma na kuishi huko..nuthn new!
Mbavu zangu jammani JF raha sana wakati mwingine.Ukiwa Dar waweza jua daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda. Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hiyo daladala ni ya kuelekea Temeke.
Ukiona wanaopanda basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula, hiyo daladala ni ya kuelekea njia ya Mikocheni, Masaki na Mwenge.
Ukiona daladala wengi wanaopanda ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala ya kwenda Kimara.
Ukiona daladala ina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana kama 'full time' wako serious usoni hiyo daladala ni ya kuelekea Gongolamboto.
Ukiona daladala jingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hiyo ni daladala ya kuelekea Kigogo
Nasubiria kuhusu sisi tunaopanda daladala za SIMU2000 via C/Kikuu - MAKUMBUSHO.... Sijui tunatambulikaje?
. Halafu madada wanaringa hao .Mmevaa vibegi utadhan suppliers wa mimea
Mmevaa vibegi utadhan suppliers wa mimea
Hauwezi ukapachoka dar ukafulahia mikoani labda kama upo nje ya Tanzania kabisa, kwa bongo hakuna kama Dar mane.
Na mimi niliishi mbagala japo saivi nipo mkoani huku sikubaliani na hilo swalaWatu wa mbagala tunadharaulika sana
Ila Fresh one day yes Tu.
hata ukipanda mwendo Kasi waweza jua abiria wanaoelekea kimara .Ukiona weupe weupe wengi na wenye meno yaliyoza oza wanakimbilia mwendo Kasi jua linabeba watu wa kimara Hilo hata kama hukuona kibao.Kama unaelekea kimara wewe ingia harakaLakini hakuna daladala za kimara siku hiz.
Ni mbezi na kibamba
Dar Huwezi ichoka hasa Kama ni mpangaji uswahilini.Wapangaji wa miaka mingi uswahilini ambao hawana hobby ya kujenga nyumba zao wakiandika kitabu Cha vituko na vichekesho vya kupanga nyumba uswahilini dar kinaweza hicho kitabu kuwa best seller duniani.Uswahini dar Sio rahisi kumkuta mgonjwa wa pressure full kucheka.Watu uswahilini hawasomi magazeti .Magazeti ya uswahilini ni umbeya au jina la kisasa linaitwa ubuyu ambalo lilibuniwa KU replace jina la umbeya baada ya jina umbeya kuonekana limekaa kimbeya mno na linadhalilisha wambeya na kuwaumbuaHauwezi ukapachoka dar ukafulahia mikoani labda kama upo nje ya Tanzania kabisa, kwa bongo hakuna kama Dar mane.
Dar ndo kila kitu dada angu.maisha yenyew mafup hayaWatu wa Dar na rank zenu
😂😂😂😂 madera 20 mbona machache!!Sio kweli mbagala ndio soko kuu la madela Tanzania Kuna wavaaji wengi ambako mtu aweza kuwa hata na madela 20
😋😋😋😋!Dar ndo kila kitu dada angu.maisha yenyew mafup haya
Hahahhqhaha😂😂😂😂 madera 20 mbona machache!!