Namna ya Kujisajili na CRDB SIM banking.

Namna ya Kujisajili na CRDB SIM banking.

Hii kitu Productive sana, thanx wakuu
 
Ukisha bonyeza *150*03# then ok itakwambia hujajisajiri so utachagua kujisajili either kiswahili au kiinglish. Itakwambia uingize namba za kwenye kadi yako ya ATM,hlf utaingiza trh ya mwsho ya ukomo wa matumizi ya kadi yako..mfano ni tarh 11 mwezi wa 8 utaingiza 1108 bila kuongeza chchte then utaendelea...
asante mkuu..nimefanikiwa hata mimi maana ilikuwa inanizingua kwenye kuweka tarehe...thanx.. Lakini mbona hawajaweka kuhamisha muda wa maongezi kwa upande wa tigo??
 
Wakuu naomba msaada wa namna ya kujisajili na huduma ya kuaccess taarifa za akaunti ya CRDB kupitia simu. Nipo wilaya isiyo na benki ya crdb kikazi na nahitaji kujua kama mwajiri wangu kaniingizia kamshahara kangu! Asanteni..
usalama wa account za wateja umewekwa sawa au ndiyo fedha zawatu zitaznza kuchakachuliwa bila wenyewe kufahamu naomba mwenye ufahamu anitoe wasiwasi.
 
Hapo ndi shida inapoanzia! Ni vema wakaweka wazi pia na utaratibu wa kujitoa....tulisikia humu watu wanalalama jinsi wanavyokatwa pesa na makumpuni ya simu na kujitoa inakuwa ngumu.
Kweli kabisa waweke wazi na namna ya kujitoa.....
 
habali zenu wakuu... Mimi nipo nmb sasa nataka na CRDB sasa nii inakuwaje taratibu zake kitambulisho cha kula kipo......naombeni mnielekeze kwanza kabla sijaenda ofisini kwao....Ahsanteni .....
 
Wajameni!!!!!!!!!

Hii SIMBANKING ya CRDB mbona imekuwa kimeo sasa. Nimeshawishika kusajiri baada ya kupata maelezo mazuri katika page hii; Lakini sasa jana kila niki-LOG IN, inaniambia eti "UMEKOSEA NAMBA YA SIRI" mara "UMEKOSEA NAMBA YA AKAUNTI"

Miwhos naambiwa "AKAUNTI YAKO IMEZUILIWA" nikawapigia huduma kwa wateja wakarekebisha. Nikajaribu tena mchezo ule ule mwisho "IMEZUILIWA"

Wajameni haya matatizo ni kwangu tu au hata na wengine mnayo kama mimi????

Nimebaki :A S embarassed: sijui nianzie wapi kwa sasa, namna ya kujitoa sijajua bado. Nifanyeje??? naomba ushauri wenu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Crdb tusaidieni maana nikifuata utaratibu wa kusajili mwishoni napewa ujumbe kwa huduma kwa sasa haipo nijaribu baadae. Hii siku ya tatu napata ujumbe huu. Inachosha maana unaingiza namba ya kadi yenye tarakimu 16, halafu namba ya akaunti yenye tarakimu 13,halafu namba ya siri ya kadi yenye tarakimu 4,na kuweka password ya tarakimu 4 mara mbili. Inakatisha kushindwa kufanikiwa. Tunahitaji maelezo.
 
Kweli voda hazikubali, nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio hadi nilipobadili laini ya airtel ndio ikakubali..

ila kumbuka vodacom wanakucharge tzs 18 kila baada ya sekunde 15 unazokuwa unatumia hiyo mobile banking yako
 
Ukisha bonyeza *150*03# then ok itakwambia hujajisajiri so utachagua kujisajili either kiswahili au kiinglish. Itakwambia uingize namba za kwenye kadi yako ya ATM,hlf utaingiza trh ya mwsho ya ukomo wa matumizi ya kadi yako..mfano ni tarh 11 mwezi wa 8 utaingiza 1108 bila kuongeza chchte then utaendelea...

Thanks mkuu. Lakini vipi kuhusu usalama wa hii huduma,watu hawajawahi kulia?
 
usalama wa account za wateja umewekwa sawa au ndiyo fedha zawatu zitaznza kuchakachuliwa bila wenyewe kufahamu naomba mwenye ufahamu anitoe wasiwasi.

kujitoa si unatupa line tu ndo unakuwa umeshajitowa
 
habali zenu wakuu... Mimi nipo nmb sasa nataka na CRDB sasa nii inakuwaje taratibu zake kitambulisho cha kula kipo......naombeni mnielekeze kwanza kabla sijaenda ofisini kwao....Ahsanteni .....

Mh,tembelea CRDB watakusaidia haichukui muda ni dakika tano tu
 
Thanks mkuu. Lakini vipi kuhusu usalama wa hii huduma,watu hawajawahi kulia?

Ofcourse kuna baadhi ya siku system zinakuwa haziko sawa,lakini hela inakuwa in betweem MPESA na CRDB so there is no way itapotea sema kutakuwa tu nenda rudi nyingi. Nimetumia kwa muda sasa haijawahi kunitatiza,nachopenda zaidi ni kuwa naweza kudeposit kwa benki anytime hata nikiwa nyumbani.
 
Ngoja nifanye mpango kwa laini ya Tigo.Vodacom nimejaribu ila nimekataliwa tu yaani huu mtandao unamambo mengi ya kukera
 
Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000.
 
Back
Top Bottom