Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
Ubarikiwe DaMie
Asante nimefanikiwa na line yangu ya Vodacom
Asante nimefanikiwa na line yangu ya Vodacom
Usinichoke maana sijasajili huduma yoyote kati ya hizo hivyo kwa majibu yako bado mimi ni mbumbumbu.
Samahani wakuu namba ya kadi ya benki ni ipi maana naona kuna group la namba kama 4 hivi au ndo account number
Samahani wakuu namba ya kadi ya benki ni ipi maana naona kuna group la namba kama 4 hivi au ndo account number
Swali la msingi ni costs zao. Kwa mi sijiungi mpaka ntakapojua fee zao.Nimeona haya matangazo ya SIM banking na hata muingiliano wake na M-PESA, Tigo Pesa etc lakini hawaweki bayana gharama zake/cost implications. Je ni subscription based (kwamba kila mwezi unakatwa na kiwango gani) au unalipa kwa idadi ya miamala unayofanya au kwa kiwango cha pesa unachotuma? Kama kuna mtu aayejua, please tujuzeni.
Swali la msingi ni costs zao. Kwa mi sijiungi mpaka ntakapojua fee zao.
Nimeona haya matangazo ya SIM banking na hata muingiliano wake na M-PESA, Tigo Pesa etc lakini hawaweki bayana gharama zake/cost implications. Je ni subscription based (kwamba kila mwezi unakatwa na kiwango gani) au unalipa kwa idadi ya miamala unayofanya au kwa kiwango cha pesa unachotuma? Kama kuna mtu aayejua, please tujuzeni.
Kuamisha muamara tsh 10,000? Hope utakuwa umepitiwa mkuu!
Unaweza kujua balance yako? Naomba jibu
Kuna namba pale juu ya kadi zipo 16 katika mafungu manne ya namba 4...samahani wakuu hizo namba za kadi ni zipi? au accountnamba
Bila shida..Unaweza kujua balance yako? Naomba jibu
haina monthly charges mkuu..gharama kwa kila muamala wa kuhamisha pesa ni tsh 1,000 na unapoanza kuaccess menu yao pia unalipa tsh 15 kwa sekunde 20
Samahani wakuu namba ya kadi ya benki ni ipi maana naona kuna group la namba kama 4 hivi au ndo account number
Hapo ndi shida inapoanzia! Ni vema wakaweka wazi pia na utaratibu wa kujitoa....tulisikia humu watu wanalalama jinsi wanavyokatwa pesa na makumpuni ya simu na kujitoa inakuwa ngumu.Niliaccess menu yao mara 2 na bank statement inaonyesha nimekatwa tsh 100 kila nilipoingia!