Namna ya kuishi na wanawake kwa akili

Namna ya kuishi na wanawake kwa akili

Siku moja nilimkwaza mke wangu. Nikataka kuomba msamaha lakini nikakumbuka Nisamehe zimekuwa nyingi sana kwa hiyo nikataka kubadilisha style ya kuomba msamaha.
Nikaenda sebuleni nikaanza kuomba kwa sauti ya juu ili kuhakikisha anasikia kila neno ninalotamka.
Na Maombi yangu yalikuwa rahisi tu

"Baba naomba uendelee kunitengeneza nisiwe kikwazo kwa mke wangu, msaidie na yeye aelewe kwamba nampenda na simkwazi kwa makusudi. Wewe unajua kiasi gani nampenda huyu mdada. Si tu kwa sababu ni mzuri sana lakini pia kwa sababu ametoka kwako Bwana."

Aliposikia akaja na yeye akaendelea kuniombea na baadae tukayamaliza kiulaiiiiiiiiini.

Kimsingi hapa sikuwa na muomba Mungu tu lakini nilikuwa namuomba mama yoyoo msamaha kwa style nyingine.
HII STYLE INAITWA ISHINI NAO KWA AKILI.
We we Lijamaa una akili sana
 
Wanawake ni viumbe vizuri sana tulivyo milikishwa, ukimuweza maisha yanakuwa ya raha tupu [emoji4][emoji4][emoji4]

Heshima kwenu wanamama [emoji1355]‍♀️[emoji1407][emoji1345]‍♀️[emoji1352][emoji1403]‍♀️[emoji1404]‍♂️[emoji859]‍♀️[emoji1409]‍⚕️[emoji1409]‍[emoji264][emoji1352]‍[emoji505][emoji1352]‍[emoji310][emoji1352]‍[emoji538][emoji1409]‍[emoji555][emoji1409]‍[emoji335][emoji1409]‍[emoji161][emoji1409]‍[emoji373][emoji1409]‍[emoji436][emoji1409]‍[emoji439][emoji1352]‍[emoji602][emoji68]‍[emoji574]️[emoji1352]‍[emoji573][emoji1409]‍⚖️[emoji141][emoji73]‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️[emoji1382]‍♀️[emoji1441]‍♀️‍♀️[emoji1332]‍♀️[emoji1386]‍♀️[emoji1385]‍♀️[emoji1380][emoji1380][emoji156][emoji150][emoji151]
 
yaan wewe bora useme jaman !ukimuwezea mwanamke kwakweli hakupi shida
 
Back
Top Bottom