Download application inayoitwa call blacklisting. Unaingiza namba usizozitaka zikufikie. Au ukiwa na simu aina ya sonyerickson (smartphone) yenyewe ina inbuilt call-baring aplication. Wadau watakupa maelezo mengi mengine

Kama ni Samsung, wao ni wazuri sana katika hii huduma, manake si kwamba simu inaonekana ipo bize, bali kila anapokupigia, ina-terminate! Hii ni nzuri sana coz' wakati mwingine mtu unam-block m2 huku ukitaka asifahamu kwamba umem-block! Aina nyingine hata kama huduma hiyo ipo, inakuwa sio nzuri coz' unakuta jamaa kila anapokupigia anajibiwa "the number you're calling is used....!" Jamani, miaka yote m2 bado anaongea tu?
So, kama ni samsung, huna haja ya ku-download app yoyote ile, just go to Call Setting, pekenyua pekenyua huko hadi ukute ki2 kinachafanana na Blacklist or Block or Screening; kisha dump namba za wale wote wanaokudai halafu hutaki kulipa!!