Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na simu unayotumia Mkuu
Smartphone unaweza chagua namba 1 tu
ambayo unataka ikuone uko busy,kwa
simu mfano nokia ya tochi yategemea sana
mtandao gani unatumia
1.Voda
2.Airtell
3.tiGO
4.Sasatell
5.
6.
Download application inayoitwa call blacklisting. Unaingiza namba usizozitaka zikufikie. Au ukiwa na simu aina ya sonyerickson (smartphone) yenyewe ina inbuilt call-baring aplication. Wadau watakupa maelezo mengi mengine
Inategemea na simu unayotumia Mkuu
Smartphone unaweza chagua namba 1 tu
ambayo unataka ikuone uko busy,kwa
simu mfano nokia ya tochi yategemea sana
mtandao gani unatumia
1.Voda
2.Airtell
3.tiGO
4.Sasatell
5.
6.
ni namna gani unaweza set simu yako kila wakati ionekana iko bize na unaweza ifanya kwa mtu m1 tu?
voda n smartphone(galaxy)
Kama ni Samsung, wao ni wazuri sana katika hii huduma, manake si kwamba simu inaonekana ipo bize, bali kila anapokupigia, ina-terminate! Hii ni nzuri sana coz' wakati mwingine mtu unam-block m2 huku ukitaka asifahamu kwamba umem-block! Aina nyingine hata kama huduma hiyo ipo, inakuwa sio nzuri coz' unakuta jamaa kila anapokupigia anajibiwa "the number you're calling is used....!" Jamani, miaka yote m2 bado anaongea tu?voda n smartphone(galaxy)