Namna ya kufika Ikulu!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Wakati tunapogeza bango la "Wanyama street" kutolewa,tuangalie namna ya kufika Ikulu kwa JPM!
Hakiki unaitafuta barabara ya Barack Obama,ukiipata unanyooka nayo mpaka mwisho unakuwa umefika ikulu!
Kwa spelling zaidi,unaweza kuangalia juu kulia kwenye barua toka ikulu hapa chini!
Asanteni
 
Kufika IKULU ya MAGOGONI ni rahisi kuliko kufikia POLISI CENTRAL yoyote DSM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…