Namna ya kufanya maumizi kwa kutumia pi

MR MLAWA

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
282
429
Habari wana jamvi, nimeiweka mada kama ilivyo hapo juu mm sina uzoefu na kitu chochote kuhusiana na mambo hiyo kitu pi.

Kuna siku uliingia ujumbe katika cm yangu na namba ngeni ukielezea vitu kama crypto currency,coins, bitcoin n.k . Akanielezea jins bitcoin inavyofanya kazi haina tofauti na hii pi ispokua pi ni project mpya na imefanyiwa maboresho zaidi na akaniambia itakuja kua bora siku zijazo akaniambia mtu unaweza ukafanya exchange kama kununua bidhaa mtandaoni kama vile Amazon nao ndio wataiboresha.

Lengo langu ni kwamba, je kuna yeyote mwenye uzoefu wa hivi vitu au km kuna yeyote ameshasikia alete mrejesho nahofia isije kua ya kalynda.
 
Mtoa mada unazungumzia Pi Network? Kama ni Pi Network (cryptocurrency) bado haijaingia sokoni ila Kwa sasa unaweza kuipata Kwa kumine. Ni kama ilivyo Renec ya Remitano exchange ilivyoanza.

To claim your Pi, follow this link Pi Network - Home Page and use my username (jayz255) as your invitation code. Invitation code: jayz255
 
Back
Top Bottom