namna ya kuextract email kwenye acount... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

namna ya kuextract email kwenye acount...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by maishapopote, Sep 25, 2012.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  wadau nina shida sana na bulk email kwa ajili ya shughuli ninayofanya...lakini hakuna mtu aliweza kunisaidia wakati nilipoomba...hapa JF,lakini nimegundua kwenye email yangu nina email nyingi sana...je kuna mtaalamu yeyote anaweza kunisaidia software ya namna ya kuhamishia hizi email kwenye adress list? au email extractor yoyote?
  najua kuna wataalamu humu wanaweza nisaidia....
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
 3. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  nina software yaku extract. nitafute 0655 308308
   
Loading...