Namna ya kuelewa Universe Language

Namna ya kuelewa Universe Language

Salute kaka,
Mambo kama haya yalishanitokea almost nife! Exclude lust b'se sina roho ya uzinzi/uasherati.
Nilikuwa napata taarifa kupitia ndoto ila nilinpay anttetion sana kwa sala, maombi na zaka.
Kuna watu hufa na miaka 25 na kuja kuzikwa wakiwa na miaka 65.
True true
Hapo kwenye 25 na 65 ufafanuzi tafathali mpwa
 
Mkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.

Hapa duniani outcome ni moja tuu kwa kila mtu - KIFO!

Ule vitoto vya afu 2 - utakufa
Usile vitoto vya afu 2 - utakufa
Ukate tamaa - utakufa
Usikate tamaa - utakufa
Ufanye unachokipenda - utakufa
Ufanye usichokipenda - utakufa
Uchukie watu - utakufa
Upende watu - utakufa
Uwe mlevi - utakufa
Usiwe mlevi - utakufa
Ufanye mazoezi - utakufa
Usifanye mazoezi - utakufa
Ule wake za watu - utakufa
Usile wake za watu - utakufa
Ufanye kila kitu - utakufa
Usifanye chochote - utakufa..!

Everyone's death is near.
No escape.
Naunga mkono hoja
 
Miezi miwili Jamaa alipata ajali ya boda boda , aligongwa .

Yeye alikuwa bodaboda , akazimia na aligongwa na bodaboda mwenzake .

Then Juzi Sabasaba Jamaa aligongwa na V8 na akasagwa na roll.

Maana yake alipogongwa na kuzimia he could stepdown na kuanza kuangalia mambo mengine na kuachana na Kazi ya pikipiki.

Huyu jamaa before his death , Kama miaka 7 nyuma alipoteza Umakini akawana anatongoza watoto wadogo ambao hawalingani na age yake.

Kufanya Sana uzinzi .

Kuwa na negativity and so on

So to me that was a universe language , binadamu anaweza kufa spiritually then akaja kufa physically .

Dalili za kufa , huwa zinaambatana na pale unapokuwa blindness , kukata tamaa, kuchukia watu na kuwa destroyers.


So ukiwa unaishi na unafanya usichokipenda katika nafsi yako jaribu kuacha .

Na ukiona umekataa tamaa na ur no longer feeling alive , fahamu tu usipoacha hizo you will die ASAP

Na ukiona ur matured enough but ur chasing , young girls , and ur dominated by lusting thoughts

Just know ur death is near .

Most of people huwa hawajui kumsoma MTU na kujua either his days are numbered or not

Ana sonona au hana
Kuna ukweli hapa

Mfano Kuna Mzee Kila ukiongeza naye alikuwa ana kupa story za age mates zake waliofariki kitambo .. Kwamba yeye anapiga nao story .....then hakuchukua muda mrefu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu
Screenshot_20250709-120034_1752051658890.jpg

Chagua hapo
 
Mkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.

Hapa duniani outcome ni moja tuu kwa kila mtu - KIFO!

Ule vitoto vya afu 2 - utakufa
Usile vitoto vya afu 2 - utakufa
Ukate tamaa - utakufa
Usikate tamaa - utakufa
Ufanye unachokipenda - utakufa
Ufanye usichokipenda - utakufa
Uchukie watu - utakufa
Upende watu - utakufa
Uwe mlevi - utakufa
Usiwe mlevi - utakufa
Ufanye mazoezi - utakufa
Usifanye mazoezi - utakufa
Ule wake za watu - utakufa
Usile wake za watu - utakufa
Ufanye kila kitu - utakufa
Usifanye chochote - utakufa..!

Everyone's death is near.
No escape.
Na hilo ndo jibu
 
Back
Top Bottom