Namna ya kuelewa Universe Language

Namna ya kuelewa Universe Language

Na huu ndio ukweli
Vifo vya Africa ukifatilia vinasababishwa na uzembe na mazingira duni ya hospatili na ajali

Hata ukiangalia ajali zetu nyingi zinasababishwa na kukosa umakini na poor infrastructures.

Mfano ikiwa Serikali imeona bodaboda ni ajira rasmi kwa Vijana inabidi kuandaa mazingira rafiki .

Mfano tunaweza kutanua kwa pembeni tukaweka njia ya watembea kwa miguu , njia ya boadaboda yaani sehemu yanakopita Magari ikawa tofauti na wanakopita bodaboda.
 
Hii ni nzuri pia
 
Mkuu unajaribu kuweka maana kwenye kitu ambacho hakina maana.

Hapa duniani outcome ni moja tuu kwa kila mtu - KIFO!

Ule vitoto vya afu 2 - utakufa
Usile vitoto vya afu 2 - utakufa
Ukate tamaa - utakufa
Usikate tamaa - utakufa
Ufanye unachokipenda - utakufa
Ufanye usichokipenda - utakufa
Uchukie watu - utakufa
Upende watu - utakufa
Uwe mlevi - utakufa
Usiwe mlevi - utakufa
Ufanye mazoezi - utakufa
Usifanye mazoezi - utakufa
Ule wake za watu - utakufa
Usile wake za watu - utakufa
Ufanye kila kitu - utakufa
Usifanye chochote - utakufa..!

Everyone's death is near.
No escape.
Unaangalia matokeo, jamaa amejaribu kuangalia chanzo cha tokeo.
 
Mfano bodaboda zikigonga kuna probability ya watu kupona Ila sio bodaboda agongwe na Gari .

Hata ajali ya Mbagala anayosema mtoa mada , wale jamaa waligongwa wakiwa katika ile barabara ya mwendo kasi ambayo ilihusisha boda na V8 .

Kwahiyo tukiacha siasa na kutazama maisha ya vijana itasaidia.

Kuna siku nilimuona graduate wa Ardhi hatembei tena analia tu akipata ajali ya boda akavunjika spinal cord (Uti wa mgongo)

Sasa Kijana kakosa ajira kaamua kuendesha boda anaishia kuwa mlemavu in his lifetime

Bado watu watakaa na kusema huo ni mpango wa Mungu , hajali haina kinga n.k

I believe that safety is not certenity Ila something is wrong.

Kweli tupu!!!
 
Nadhani mtoa Mada alikuwa na maana kubwa zaidi....bodaboda ni mfano Tu...
Pitia kitabu hiki:
Mkuu umefanya vizuri na ubarikiwe Ila hiki kitabu imetumika France language .

Ikiwa utakuwa na Version ya kiingereza au kiarabu tupatie hapa

Asante .
 
Soon naweka English version,
Kipo kwenye format ya Epub inagoma kuwekwa hapa , ngoja nikibadirishe kiwe pdf
 
Back
Top Bottom