mabadilikosasa
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 379
- 85
Wana JF
Napendezwa sana na utendaji wa CDM katika kumkomboa mtanzania maskini, na tanzania kwa ujumla. Ningependa sasa elimu ya uraia ya chadema iwafikie watu wote hata waliopo vijijini. Je kuna njia yeyote rahisi ya kuchangia kifedha bila kukaa kwenye foleni kwenye mabank?e.g through mobile phone. nataka nijitahidi kama ikiwezekana kuwachangia kila mwezi hadi 2015. Pia kuna mawazo mengi niliyonayo yakuweza kuwasaidia kimkakati. Je kuna namna yeyote naweza kuwasiliana nao through email?
naombeni msaada