juisi ya rozella
jinsi ya kutengeneza
1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke
2. yatoe kwenye moto weka chini
3. weka majani mekundu kijanja (uhi) kimoja na nusu
4. kaa dakika 20
5. chuja
6. weka kwenye glass
7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali
8. tayari kwa kunywa
angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.
fuata utaratibu huo huo hapo juu.
juisi ya rozellahii...safi sana...mimi napenda sana juice...kama kuna mwenye kujua aina mbali mbali za ku'blend'' tafadhari...........tujuzane...asante sana.
juisi ya rozella
jinsi ya kutengeneza
1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke
2. yatoe kwenye moto weka chini
3. weka majani mekundu kijanja (uhi) kimoja na nusu
4. kaa dakika 20
5. chuja
6. weka kwenye glass
7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali
8. tayari kwa kunywa
angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.
fuata utaratibu huo huo hapo juu.
Sina hamu na rozella
Baada ya kuinywa nimeumwa kichwa siku 3!!!!!
Duh... hiyo ilikuwa na sumu aisee sio bure
Sina hamu na rozella
Baada ya kuinywa nimeumwa kichwa siku 3!!!!!
Mimi nilitumia daah acha maeneo kunako ndizi yaliuma mno kwa kukakamaa zaidi ya dk 48 nilihisi nimerogwa dushe liwe limenyooka tu ,jamani tumieni hiyo achaneni na mabango ya tunaongeza nguvu za kiume,dawa hiyo acha
Ndio Maana Mjini Zimetapakaa Sana Mimi Nikahisi Wachangia Damu Wameongezeka.Kwa ushuhuda huu mfupi,yataanza kununulika kwa spidi sana mixer kupanda bei