Namna ya kuacha u domo zege

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
6,255
2,000
Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoca, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
hizi,tittle,mimi,nahitaji,hili,
Wewe ni domo zege mpaka kwenye uandishi wako!
Kajifundishe kuandika kwanza,kwa uandishi huo hata ukimtumia demu msg lazima akudharau tu.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
31,055
2,000
Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Hahahah,,,"Everything you want is on the other side of the fear"

Aliesemaga huu msemo alikuwa na maana kubwa sana, ila alimradi umejitambua kuwa huitaki hio hali, its a very neccessary step towards changing. Jaribu kujichanganya maeneo ambayo utakutana na wasichana wengi. Jitahidi umsalimie msichana na kumuongelesha maneno kadhaa. Unaweza anza kwa kumsifia kidogo akicheka cheka tu omba namba.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom