Namna ya kuacha u domo zege

Asante kwa ushauri mkuu
Hahahah,,,"Everything you want is on the other side of the fear"

Aliesemaga huu msemo alikuwa na maana kubwa sana, ila alimradi umejitambua kuwa huitaki hio hali, its a very neccessary step towards changing. Jaribu kujichanganya maeneo ambayo utakutana na wasichana wengi. Jitahidi umsalimie msichana na kumuongelesha maneno kadhaa. Unaweza anza kwa kumsifia kidogo akicheka cheka tu omba namba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Jaribu kutumia lugha ya viungo, maana ya mdomoni inakushinda....! Nimejitahidi kukusoma, nikajua nikikuelekeza hata utumie ya maandishi bado huwezi, ya mdomoni nayo umekiri mwenyewe, lakini avatar yako inaonesha lugha ya viungo huenda unaiweza....! Kwa hiyo nakushauri uitumie njia hiyo, hope ujumbe utakuwa ukifika vema kabisa...
 
hizi,tittle,mimi,nahitaji,hili,
Wewe ni domo zege mpaka kwenye uandishi wako!
Kajifundishe kuandika kwanza,kwa uandishi huo hata ukimtumia demu msg lazima akudharau tu.

Wewe acha ufala, uandishi has nothing to do with kumtongoza demu. Wewe umepewa uchi na mademu wangapi kwa uandishi wako?

Correction: 'ili' sio 'hili'
 
Jaribu kutumia lugha ya viungo, maana ya mdomoni inakushinda....! Nimejitahidi kukusoma, nikajua nikikuelekeza hata utumie ya maandishi bado huwezi, ya mdomoni nayo umekiri mwenyewe, lakini avatar yako inaonesha lugha ya viungo huenda unaiweza....! Kwa hiyo nakushauri uitumie njia hiyo, hope ujumbe utakuwa ukifika vema kabisa...
Unaitumiaje iyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom