Namna ya ku-upgrade android version kwenye simu samsung galaxy note 2.

Namna ya ku-upgrade android version kwenye simu samsung galaxy note 2.

THE RIGHT

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
57
Reaction score
3
Naombeni mwenye Ujuzi wa upgrading Android version kwenye Note 2 anielekeze, nahitaji kuapgrade cm yangu.
 
download zip ya version unayotaka kisha tumia odin kuflash new version..
au nenda kweny software update na ufanye update ya version mpya.
 
Yaah kama kcamp alivyokwambia kuna njia mbili za kuupgrade
1. Official Update(official update toka samsung) ambazo unaweza kuzipata toka web ya samsung kama Stock Rom na kuziflash via odin au unaweza ukadownload na kuinstall directly via simu yako au samsung keys

2. Custom Roms(mf; Cyanogenmod,Slimkat,AOSP) hizi zinakua sio official roms kwa ajili ya simu yako ila watu watundu na madevelopers wanazitengeneza zinakua zna android version mpya/zaman kwa ajili ya kutumika kwenye simu yako.
Na hizi zipo kibao ktk web just download themna uziinstall via odin au CWM/TCWRP processes.
 
Nashukuru sana wakuu kwa, msaada wenu wa dhati! Nimefanikisha na zoezi limeenda vyema!
 
Back
Top Bottom