Namna ya ku-install android os kwenye window phone.

Namna ya ku-install android os kwenye window phone.

Uliyosema ni sawa...sasa unapokataa kwamba hardware ni compatibility tu ndio hapo na doubt. Kuna hardware nyingi zinatengenezwa kwa ajili ya specific os peke ama na hizo zikipata right kernel zitafanya kazi?

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Uliyosema ni sawa...sasa unapokataa kwamba hardware ni compatibility tu ndio hapo na doubt. Kuna hardware nyingine hazina support na zinatengenezwa kwa ajili ya specific os peke ama na hizo zikipata right kernel zitafanya kazi?

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Uliyosema ni sawa...sasa unapokataa kwamba hardware ni compatibility tu ndio hapo na doubt. Kuna hardware nyingi zinatengenezwa kwa ajili ya specific os peke ama na hizo zikipata right kernel zitafanya kazi?

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk

Yes, I run Linux on retina MacBook Pro, a laptop designed to run OS X it works well but sio kila kitu will work as expected because hamna drivers as good as they are for OS X, even though most/other laptops hazitumii thunderbolt or PCIE based storage and all that the linux kernel still supports it. My point is once you can make it boot you can figure the rest, and the linux kernel is filled with a ton of generic drivers to not be able to run anywhere....
But hapa tatizo la kutokuweka android sio compatibility, tatizo ni kuwa there's no way you can boot android kwenye WP8 device because of EFI, I'm 100% sure kuwa once it boots compatibility haitakuwa tatizo sababu most of the hardware ni sawa na in most android phones and most of the drivers are already present, yes they may need a little tweaks but given kuwa most Android phones today are running roms made from simply AOSP tree without any optimized drivers this is nothing different from that.
 
Okay kama hardware is not a problem. Basi ni swala la sofwares tu. Basi as mambo yanavyo advance tutaweza boot android kwa windows. Tusubiri na intel processor ziwe common kwenye android phones.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
It actually ran windows RT but as a proof of concept, check the XDA developers post and thread-> HTC HD2 Refuses to Die, Now Runs Windows RT – xda-developers this phone never dies

mi naweza kutumia photoshop nikatengeneza simu ya tochi inarun osx halafu inaedit video.

kaka nasema hivi sababu huwa hainiingii akilini nikifikiria haya.
1. sijawahi ona kifaa cha 1gb cha win rt vyote vina ram 2gb je hii yenye ram 448 ambayo hata haijafika robo ya 2gb imeweza vipi?

2. adreno 200 ni gpu ndogo sana ukijumlisha na single core cpu haiwezi handle win rt

3. nijuavyo mimi os inakaa kwenye rom. hii simu ina rom 512mb na os ya win rt ni 8gb (pamoja na office na built in apps) je zimeingiaje hapo?

akilini mi naamini ni scam jamaa wametuzuga tu hadi nione kwa video
 
Nadhani hii itakuwa na majibu:

"It's now running from SD card. NAND is not assumed to be supported by any way
(there is no native support for such storage medias inside NT, as well no goal to add such support - cuz NAND is too small for that purposes)
But SD cards are not really fast . . . unlike eMMC with 8bit bus inside native WP8 devices.
As well too often access to SD card may produce big power drain."

This was just a proof a concept, which does make sense to me, mfano kwenye Nokia N900 to install Android or Meego CE ilikuwa unainstall kwenye micro-SD card. The device is considerably underpowered so other than experimenting this was not a serious project, and I'm sure it must have been super laggy and utter useless.
 
Back
Top Bottom