Namna ya ku-install android os kwenye window phone.

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
1,889
Reaction score
1,127
Wakuu habari!!
kama kuna mtu anajua namna ya kuistall Android os kwenye window phone kama Lumia anipe steps.

Najua ni platform tofauti lakini nahisi uwezekano upo.

tafadhari siyo wallpaper au gadgets za android nahitaji full installation ya android kwa anayejua.
 
Yah unaweza
.
lakin sio kirahic 2 kwamba utapata software flani alafu ndo uinstall hapana
.
napia huwez replace android to windows kwa kutumia software flani..
.
huwa wanatumia boot loader mi nili2mia haRET lakin kuna process ndefu tu zakufanya na files kazaa mi nimewah ktk htc flan GOOGLE
.
Ila mimi sikushauri ufanye hvyo mana any problem utakayopata.. Hutoweza pata msaada ulikonunua mana umekiuka sheria zao..
 
Last edited by a moderator:
Yah unaweza
.
lakin sio ..
.
huwa wanatumia boot loader mi nili2mia haRE tu zakufanya na files kazaa mi nimewah ktk htc flan GOOGLE
.
ka sheria zao..
kwan ukiweka android os window inapotea au zinakuwa os mbili!?
 
Last edited by a moderator:
kaka mpaka wenyewe manufacture waamue ku unlock bootloader ndo zinaeka os yoyote. na zipi simu nne tu duniani ambazo zipo open kwa kila os. nokia 900, n9, 950, na htc hd7
 
asante kaka! Hivi ile n9 yako ulishaiuza tayari!?
 
yah tayari

Finally I meet someone who had N9, I have been a big fan of the N900 and the N9, the former being my all time favorite phone... I tried to sell them ila I finally decided to keep them kumbukumbu, precious ornaments of mine. That's the path Nokia should have taken sad to see the platform die!!! 🙁
 
Yah unaweza
.
lakin sio kirahic 2 kwamba utapata software flani alafu ndo uinstall hapana
.
napia huwez replace android to windows kwa kutumia software flani..
.
huwa wanatumia boot loader mi nili2mia haRET lakin kuna process ndefu tu zakufanya na files kazaa mi nimewah ktk htc flan GOOGLE
.
Ila mimi sikushauri ufanye hvyo mana any problem utakayopata.. Hutoweza pata msaada ulikonunua mana umekiuka sheria zao..

the haRET thingy you are talking about used to work on "windows mobile OS", it doesn't work on "Windows Phone OS" and it never will until they find a way around MS restrictions...
 
Kwanza install Classic Shell, hii itakupa Stat Menu kama ya Xp au Windows 7 na pia itaifanya Windows 8 iboot straight to Desktop ya kawaida. Classic Shell - Start menu and other Windows enhancements

Kuhusu modem, inawezekana hiyo modem haina Drivers ambazo zipo compatible na Windows 8 or at least haiji na hizo drivers so PC inabidi iwe connected online tayari wakati unachomeka modem ili windows iweze kudownload drivers mpya.

.
sijelewa UNAZUNGUMZIA NIN KAKA
.
.NIELEWESHE PLEASE
 
wrong thread, I'm sure you want to help jamaa wa Asus na Windows 8
 
.
sijelewa UNAZUNGUMZIA NIN KAKA
.
.NIELEWESHE PLEASE

Wrong thread mkuu sorry. Kwa upande wako hii kitu sio rahisi kabisa na hata ukifanikiwa experience yako itakuwa mbovu sana kwenye hiyo simu, ni bora uiache kama ilivyo.
 
aah pamoja sana
.
ila unapo ni quote hapo kwenye red, sio mimi mwanzisha thread ni huyu GOOGLE
.
.
 
Last edited by a moderator:
Finally I meet someone who had N9, I have been a big fan of the N900 and the N9, the former being my all time favorite phone... I tried to sell them ila I finally decided to keep them kumbukumbu, precious ornaments of mine. That's the path Nokia should have taken sad to see the platform die!!! 🙁

kuna petition jamaa wametoa kuhusu n900 watu wachange hela waipe kampuni ya simu itengeneza version mpya ya n900 yenye specs kubwa.

na kuna watu wameport ios kwenye n900 ila ni kernell tu ndo wameiport wanasubiria mwengine amalizie gui.

hizi simu zina potential nyingi sana. ila usiwe na wasi wasi elop akiondoka nokia watarejea path hii hii ya linux. rumors zipo nyingi, ila yenye mashiko zaidi ni ya meltemi.
 
proud htc hd2 owner inkuja na windows 6.5 ila u can do alot to the phone weka android, firefox, wm 7.8 ubuntu windows rt, meego wm8 nimeshatumia wm7.8 na versions tofauti za android i am hoping kujaribu nyingine soon
 
hii ya win rt si kweli haingii akilini nataka niione kwa macho au video youtube unaweza prove?
 
At the moment haiwezekani kuweka android kwenye lumia. Hardware ni tafauti sana, os tafauti mno...linux vs microsoft...hata processor instructions ni tafauti. Ingekuwa rahisi kila mtu angetumia os ya mwingine na tusingenunua simu mpya sasa.

Sent from my SM-N900 using Tapatalk
 
Tatizo sio hardware wala OS, tatizo ni firmware, WP8 is EFI based and android is not, since it's EFI ni lazima kuwe na valid signature to tell the phone to boot once one can go around that drivers and other things will not be a big deal.

Same case is when installing Linux on a Mac or Windows 8 PC, you need just to bypass EFI, once that is done you can run whatever, problems will just come because the hardware was not optimized for the given OS but given that WP8 uses same components like many android devices, and that manufacturers already have drivers for those components the only stumbling block hapa ni EFI.
 
Firmware ndio OS yenyewe. Kuna mambo mengi zaidi ya EFI. Inaazia kwenye hardware pia. Mf. Unaweza kukuta os fulani haisupport usb3.0. Tayari hapo nitafauti. Mf.2 labda os A. Firmware X inaitaji hdd iwe na SATA sio IDE hata kama os.B itawasha pc haitaweza pata connection. Hapo ni hardware compatibility, Ndio maana manufactures wanatumia pin tafauti katika processor zao ili wasiingiliane. Intel na amd pin processor zao tafauti ila os moja. Kuna mambo mengi sana.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Android using Linux kernel can surely deal with all that as it does support a whole range of processors and boards, so issue ya compatibilty comes after.
Firmware and OS are different, and the main difference ni kuwa firmware is meant to live in the non-volatile memory ya computer, OS ipo kwenye volatile memory ndo maana you can remove it and replace anytime you want. For an OS to boot lazima ile firmware iwe inaitambua that OS and that is the case with why android cannot and will not run on WP8 device because it doesn't have a valid signature to be recognized by these devices EFI
 
Back
Top Bottom