Namna ya ku escape Mahari na fine zingine

Namna ya ku escape Mahari na fine zingine

Cutting your Nose to Spite your Face....; Wewe kama hauna hizo kuwa mkweli tu ili kuonyesha uwezo wako tangia mwanzo kuliko kuleta ujanja ujanja na kujiletea image ya Utapeli Ukweni...

Don't Win the Battle.., to eventually lose the War...
 
Ndio yale yalee unakuta mwanamke hazai kumbe Babu yake kanuna.

Acha janjanjanja toa mahari umpige busu mkeo mbele ya wazazi wake😂😂
Au unasemaje Binti wa zamani
 
Mpige mimba unayetaka kumuoa
Miezi mitatu ya kwanza mpende sana alafu ile mingine mkatie mawasiliano

Anza kujipanga kimya kimya nunua vitu vya ndani khanga na mahitaji yote ya mzazi

Baba yake mzazi na ndugu zake watakuletea mke mpaka unapoishi bure kabisa kwa gjarama zao

Wqkiwa wabishi kumleta mimba ikifikisha miezi 8 tuma wazee wape laki moja
 
I will follow this to the T
 
Back
Top Bottom