Msaada:Nashindwa kutumia internet ya simu kwenye PC!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,924
Reaction score
95,758
Wadau naomba msaada wa namna ya kutumia internet ya simu yangu kwenye PC kupitia wifi ya simu yangu kwani leo kwa mara ya kwanza nilikuwa nataka nitumie internet ya simu yangu kwenye PC kama kawaida nikawasha wifi ya simu yangu pamoja na wifi ya pc yangu sasa ile nataka kukonnect pc yangu ikaniambia kuwa wifi ya simu yangu ni secured na kwa hiyo natakiwa niaccess internet kwa kutumia password ambayo huwa natumia kusecure hiyo wifi ya simu yangu!.....ila tokea ninunue hii simu yangu sijawahi kutengeneza passwaord ya wifi yangu wala sijawahi kuitumia hii wifi!.....Msaada ambao ninaoutaka hapa ni kwa jinsi gani ninaweza kujua default password ya wifi ya simu yangu ambayo huwa inakuja na simu??

Please help me!
 
Ni rahici sana nenda kwenye seting ya cm yako kisha fungu kweny wifi hotspot fungua seting yake kisha utaona kuna sehem ineandkwa set up wifi hotspot then fungua hapo utaona mahali pa kuitoa hiyo security ya wifi ambayo utatakiwa uiweke open
 
Niiweke open kwa ajili ya watu gani mkuu???
 
Back
Top Bottom