Namna Unavyoweza Kutumia internet BURE bila kifurushi

Khadija Mtalame

Senior Member
Jul 14, 2021
186
715
Habari kwenu wanajukwaa!

Watu wengi wamekuwa wakitafuta njia bora itakayowawezesha ili waweze kupata huduma ya kuperuzi bure mitandaoni bila ya kuwa na kifurushi kabisa kutokana na vifurushi kupanda Bei.

Endapo unamiliki simu Janka(smartphone) Sasa utaweza kupata huduma hiyo bure kabisa bila ya kuwa na Kifurushi Cha aina yoyote ile.

HATUA ZA KUFATA

1.Ingia kwenye simu yako Janja na tafuta neno Hili " Pisphon pro"

2.Fungua app hiyo baada ya kuipakua,nenda sehemu wameandika "option"

3.Baada ya hapo bonyeza sehemu iliyoandikwa "VPN SETTING"

4.Kubali sehemu imeandikwa "tunnel all app"

5.Rudi nyuma na ubonyeze sehemu wameandika "Proxy setting" weka vema sehemu pameandikwa "connect through http proxy" hapohapo kwa chini kubali sehemu imeandikwa "use system network settings"

6.Rudi nyuma bonyeza sehemu imeandikwa start ,itafungua browser yake,na WhatsApp chats zitaanza kuingia hata ukiingia YouTube inafanya kazi.

Endapo utaona mtandao unasumbua,utabadilisha "location" kwenye "select server region"

Natumaini nimeeleweka,Kuna karibuni sana.
 
Thanks
 
setting za voda nimeimport leo naambiwa zime expire hebu nipeni nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…