masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,386
- 19,312
Maarage ndio kidude gani?Nunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store
Ambayo hayajakaa sana store bado yana rangi yake kama soya njano unakuta unjano umekolea sana
Ila kama yamekaa store yanaanza kuwa kahawia
Uyasafishe vizuri kisha loweka kwenye bakuli na maji ya kawaida
Kwa masaa zaidi ya 6
Au kama unapika jioni loweka asubuhi
Ukirudi yapike
Kabla ya kupika mwaga yale maji uliyolowekea na uyaoshe tena kidogo
Dakika 10 tu kwenye gas au 20
Yanaiva vizuri sana na yanakua mazuri
Yanakua yamepungua kabisa gas kwa hiyo kwa watu wenye shida na maarage haya ni mazuri sana
Tia nazi yako ya kutosha
Unga kwa viungo upendavyo
Kwa wali au kwa chakula chochote
SawaMaarage ndio kidude gani?
Yanaitwa maharage au maharagwe
Hata hayo ya zamani yanafaaSema namna ya kupika kirahisi maharage mapya. Ila kama Kuna njia ya kupika maharage kirahisi yote kwa ujumla anzisha Uzi mwingine. Usitiwekee masharti ya mahage ambayo hayajakaa sana.
NaamAsante kipenzi kwa kutuongezea maarifa ya jikoni.
Nimecheka kwa sauti mpaka nilio nao wamenishangaa. SIJAVURUGWA DADAA KE, Niko sawa ila sikukuelewa hapo uliposema malage mapyaHata hayo ya zamani yanafaa
Sasa masharti gani???
Maaarage yoyote yanafaa
Vizuri tu
Ila matokeo sio sawa kama yamekaa sana store
Ni sawa nakutaka mchuzi mzuri kwa nyanya mbovu
Afu mbona kama umevurugwa wewe?
Hayatapoteza virutubisho kwa kuyaloweka muda mrefu?Nunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store
Ambayo hayajakaa sana store bado yana rangi yake kama soya njano unakuta unjano umekolea sana
Ila kama yamekaa store yanaanza kuwa kahawia
Uyasafishe vizuri kisha loweka kwenye bakuli na maji ya kawaida
Kwa masaa zaidi ya 6
Au kama unapika jioni loweka asubuhi
Ukirudi yapike
Kabla ya kupika mwaga yale maji uliyolowekea na uyaoshe tena kidogo
Dakika 10 tu kwenye gas au 20
Yanaiva vizuri sana na yanakua mazuri
Yanakua yamepungua kabisa gas kwa hiyo kwa watu wenye shida na maarage haya ni mazuri sana
Tia nazi yako ya kutosha
Unga kwa viungo upendavyo
Kwa wali au kwa chakula chochote
Kuna tip moja ya kupika maharage, Wakati unachemsha weka kitunguu kimoja kizima (menya maganda yake ya nje) ndani ya maharage kichemke na maharage halafu ukitoe baada ya kuiva.Sawa
Kiswahili mimi lugha ya tatu
Yanakua na ladha nzuri?Kuna tip moja ya kupika maharage, Wakati unachemsha weka kitunguu kimoja kizima (menya maganda yake ya nje) ndani ya maharage kichemke na maharage halafu ukitoe baada ya kuiva.
Yanakua kama maarage mabichiHayatapoteza virutubisho kwa kuyaloweka muda mrefu?
Yaani mimi mpaka nachoka. Hiki kirusi kinachokula “h” au kuongeza “h” batili kwenye brains za watoto wa leo sijui kimetoka wapi.Maarage ndio kidude gani?
Yanaitwa maharage au maharagwe
ThanksNunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store