Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,212
- 4,735
Hata sijakasirika mkuu. Kuna staff mwenzangu nilikuwa nafanya kazi sehem tukapewa nyumba tukaishi staffs karibia nane kila mmoja na chumba chake. Jamaa alikuwa anafua mashuka na nguo usiku anazikausha kwa kutumia feni ya umeme. Zile feni za kusimama aiseeeee. Hapo ndo nilijua ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.Umeandika kwa hasira sana..pole Sana.