Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Mimi nimeona watu wakitumia.
Ila mimi sina.
Kama hujanunua rice cooker nakushauri tafuta tu hiyo multi cooker umalize mchezo zipo zingine zinafanya kila kitu mpaka deep fry. Achana kununua rice cooker.
Nishanunua tayari... ndio maana nikataka kujua matumizi zaidi...i gues hiyo ingine inafaa zaidi..tekinolojia zinaenda kasi sana,wakati unatafuta taarifa za moja,hujazipata vizuri watu washafika kumi...shukrani
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nishanunua tayari... ndio maana nikataka kujua matumizi zaidi...i gues hiyo ingine inafaa zaidi..shukranu
Sawa.
Kweli inafaa zaidi maana inapunguza gharama za kununua mashine nyingi nyingi kwa wakati mmoja.
 
Watu mnamiss use matumiz ya rice coocker. Nimenunua rice coocker tangu mwaka 2013 nipo first year mpaka leo ninayo maana naitumia vizuri kama mchina alivyoiitengeneza.
Tatizo wabongo kwenye kubadilia matumizi mpo vizuri.
Hata rims za matair zinatengeneza huko japan zikija bongo zinatumika kama kengele za shuleni. Makabati ya kuwekea nguo ya kitambaa sasa ivi yanatumika kupigia nyungu seasoni ya pili.
Aisee bongo sihami
 
Mimi yangu ni rice cooker mkuu.
Rice cooker tu.
Sina multi cooker.
Nii imara sana maana nilinunua miaka 6 nyuma.
Sema zilikuwa mbili kubwa na ndogo.
Nilikuwa natumia ndogo baada ya kugawa ndogo miaka mitatu nyuma nikaanza kutumia hii ya sasa ni kubwa kidogo ya kilo moja na nusu.
Nafikiria inategemea na uimara wa rice cooker kwa matumizi yangu ingekuea imeshaharibika.
Asante kwa kukubali kwa matumizi yako ingekuwa imeharibika. Kama mna share umeme na majirani nyumba za kupanga utakuwa unawakomoa wenzako pamoja na ww pia. Na pili haliwezi kukaa muda mrefu kwa maan themostat yake una i overload. Maharage na nyama au kitu kingine kigumu mbali na mchele uliooshwa vizuri huchelewa kuiva na itabidi rice coocker iwake (i operate) above the rate ijizime na uiwashe tena ndo chakula chako kiive.
Kwa mazingira hayo kifaa unakiharibu na unajikuta unatumia umeme mwingi sana.

Tuache ku miss use vitu.
Kuna jamaa angu yy anakaushia ngua electric fan aisee tuliwahi kupanga nae nyumba moja mita moja nilimtolea uvivu aisee
 
Mkuu umeme wa peke yangu sina nachoshare na mtu.
Na kuhusu umeme ondoa wasiwasi ninalipa umeme kutokana na matumizi yangu ni bora ninunue umeme(halafu hata si mwingi kuna siku nilizima vitu vyote vya umeme nililiwasha lenyewe tu nikachemsha maharage mpaka kuiva zilienda unit 3 ambazo ni umeme wa buku tu) lakini si kushika shika mikaa kwangu option ya kwanza ni jiko la umeme then gas makaa mwisho.
Halafu mimi si mama ntilie bwana maharage sipiki kila siku labda kila baada ya wiki au Wiki 2.
Ikiharibika nitanunua multi cooker.
Kwa sasa achana nitese nalo.
 
Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?

Rice is a grain, so it probably isn't a huge surprise that you can cook all sorts of other grains in the rice cooker—quinoa, rice pilaf, risotto, polenta, grits, and even a pseudo paella dish (just mix the sausage, chicken, and other ingredients in with the rice)
 
Mimi yangu kila siku napikia wali, pilau biriani.
Na kila maharage nachemshia humo.
Mchemsho wa nyama pia nachemshia humo ikiwa napika supu.
Kwa kweli naishukuru sana maana hata nikiwa sina sh mia ninapika kwanza maharage then naosha sufuria nabandika wali.
Ina miaka mitatu sasa.
Rice cooker au pressure cooker?
 
Mkuu umeme wa peke yangu sina nachoshare na mtu.
Na kuhusu umeme ondoa wasiwasi ninalipa umeme kutokana na matumizi yangu ni bora ninunue umeme(halafu hata si mwingi kuna siku nilizima vitu vyote vya umeme nililiwasha lenyewe tu nikachemsha maharage mpaka kuiva zilienda unit 3 ambazo ni umeme wa buku tu) lakini si kushika shika mikaa kwangu option ya kwanza ni jiko la umeme then gas makaa mwisho.
Halafu mimi si mama ntilie bwana maharage sipiki kila siku labda kila baada ya wiki au Wiki 2.
Ikiharibika nitanunua multi cooker.
Kwa sasa achana nitese nalo.
Nadhani tungefunga mjadala huu kwa post yako hii. Upo peke yako unachemsha maharage kwa rice coocker unatumia UNIT 3 za umeme amabazo ni sawa na Buku kununua hizo unit tatu. Kwa watanzania wa kawaida maharage ndo chakula kikuu kinapikwa na kuliwa kila siku just imagine uwe na familia ya watu watano(minimum) kila siku kupika maharage itakucost zaidi ya hiyo buku.

Kuna research moja nilipata kuisikiliza redion ya wanafunzi wa UDSM kuhusu sustainable energy na energy serving hasa kwenye kupikia majumbani. Wali recomend matumizi ya GAS( LPG au NATURA GAS) na matumizi ya PRESSURE COOCKER kupikia kwani ni energy saving na very cheap katika nyumba nyingi za kitanzania.

Rice coocker inafaa ipike wali tuu. Matumizii mengine ni kama kupika kwa kutumia pasi ya umeme.
 
Mkuu upande wangu niko sahihi kabisa na upande wako uko sahihi kabisa.
Kufupisha tu wewe umeme wa buku unauona mwingi sana kulinganisha na maisha ya watanzania tunayoishi.
Mimi naendesha maisha kwa umeme.
Kwa siku natumia umeme wa 15,000 mpaka 20,000 na nitaongeza matumizi itafika mpaka umeme wa 45, 000 kwa siku.
So hiyo umeme wa buku sijui wa mia tisa unajilipa humo humo.
Na nilishasema mimi sipiki maharage kila siku.
Itokee kwa wiki au baada ya wiki 2.
Pressure cooker nitanunua hii nikiichoka au ikiharibika.
Kwa sasa ni mkombozi wangu.
Ningekuwa napipaka makande ningepikia pia.
 
Hii hapa. Mm natumia pressure coocker kupikia vyakula vigumu. Nyama, maharage, wali, makande, samaki na vingine vingi kwa haraka kabisa. Nikihamishwa kazi kitu cha kwanza kuweka huwa ni presha coocker nguo ndo zinafata.View attachment 1460566
Hili ni mwendo gase tu, ila maharagwe yake mie huona hayanogi vizuri ni kama ukiyaunga kisha uyaweke kwenye frige radha inapungua
 
Mkuu upande wangu niko sahihi kabisa na upande wako uko sahihi kabisa.
Kufupisha tu wewe umeme wa buku unauona mwingi sana kulinganisha na maisha ya watanzania tunayoishi.
Mimi naendesha maisha kwa umeme.
Kwa siku natumia umeme wa 15,000 mpaka 20,000 na nitaongeza matumizi itafika mpaka umeme wa 45, 000 kwa siku.
So hiyo umeme wa buku sijui wa mia tisa unajilipa humo humo.
Na nilishasema mimi sipiki maharage kila siku.
Itokee kwa wiki au baada ya wiki 2.
Pressure cooker nitanunua hii nikiichoka au ikiharibika.
Kwa sasa ni mkombozi wangu.
Ningekuwa napipaka makande ningepikia pia.
Sijakukataza kutumia rice coocker mkuu emu pitia vizuri posts zangu kwenye hii thread. Nimetoa recomendations kwa mtanzania wa kawaida. Navyo kuona wewe unaweza usiwe kwenye kundi la watanzania wa kawaida mkuu. Hongera sana kwa kutokuwepo kwenye class ilo la watz wa kawaida. Mtz wa kawaida kupikia maharage au vyakula vingine kwa rice cooccker anakuwa anajiumiza yy au watu wengine ambao kwa namna moja au nyingine anatumia nao mita moja ya umeme.
Ndo kusema akitumia LPG au natural gas na sufuria ya PRESSURE COOCKER ataokoa gharama nyingi na ataishi muda mrefu na rice coocker yake bila kuharibika.
 
Mimi nimeona watu wakitumia.
Ila mimi sina.
Kama hujanunua rice cooker nakushauri tafuta tu hiyo multi cooker umalize mchezo zipo zingine zinafanya kila kitu mpaka deep fry. Achana kununua rice cooker.
Ungeweka picha ingekua poa.
 
Ungeweka picha ingekua poa.
Hii hapa multi coocker unaipata maduka ya vyombo vya ndani na umeme. Inapika maharage, wali na vitu vya kuchemsha viazi, nyama, samaki makande. Ukija kulichunguza vizuri ni pressure coocker la umeme maana sufuria yake huwa ni ngumu na nzito imetengenezwa na aluminium nzito sana hairuhusu mvuke kupita kwa urahisi. Sawa kabisa na pressure coocker inayotumika kwenye gesi.
images%20(8).jpg
 
Acha kuwatesa majirani zako kwenye suala la umeme kama unatumia rice coocker kupika vyakula vingine mbali na mchele kama ilivyotengenezwa. Themostat na kila kitu kilichowekwe kwenye rice coocker ni kwa ajili ta kupika wali tuu. Sasa unakuta li mtu linapikia hadi maharage. Coocker inawaka hadi inajizima jitu limooo tuuu linawasha tenaaaa.

Nunua presha coocker ya kawaida. Chambua maharage yako. Yaoshe vizuri. Loweka hata kwa masaa matatu then weka kwenye presha coocker yako funga vizuri washa gesi yako weka presha lako dakika 20 maharage tayari.
Umeandika kwa hasira sana..pole Sana.
 
Back
Top Bottom