Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Umeandika kwa hasira sana..pole Sana.
Hata sijakasirika mkuu. Kuna staff mwenzangu nilikuwa nafanya kazi sehem tukapewa nyumba tukaishi staffs karibia nane kila mmoja na chumba chake. Jamaa alikuwa anafua mashuka na nguo usiku anazikausha kwa kutumia feni ya umeme. Zile feni za kusimama aiseeeee. Hapo ndo nilijua ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Huyo staff mwenzio alizidi aisee.
 
Hadi keki unapika. Kuna recipe nyingi tu kama ukiwa mpenda kula. Na ni rahisi sana. Ingia pinterest tafuta "rice cooker recipes " halafu utaona mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hadi keki unapika. Kuna recipe nyingi tu kama ukiwa mpenda kula. Na ni rahisi sana. Ingia pinterest tafuta "rice cooker recipes " halafu utaona mwenyewe.
Asante kwa kweli inaweza kutumika kupikia vingi,nimekuta hii pia
 
Hii hapa multi coocker unaipata maduka ya vyombo vya ndani na umeme. Inapika maharage, wali na vitu vya kuchemsha viazi, nyama, samaki makande. Ukija kulichunguza vizuri ni pressure coocker la umeme maana sufuria yake huwa ni ngumu na nzito imetengenezwa na aluminium nzito sana hairuhusu mvuke kupita kwa urahisi. Sawa kabisa na pressure coocker inayotumika kwenye gesi.View attachment 1461362
Kwenye Rice cooker, ikishajifyatua na kujiweka kwenye "warm" unaweza geuza kwa mwiko, sasa hili inakuaje?!
 
Rice cooker/ electric kettle nimenunua tangu 2010 na licha ya kufanyia yote hayo na bado ziko fresh hadi leo hii, nani hataki?

แตƒสณแต‰แต‰แต
 
Hii presha coocker ni nzuri sana. Kwa gesi na mkaa. Ila gesi ndo sana zaidi. Maana gesi ni cheap na efficient zaidi. Ina safety pin kuonyesha kuwa mfuniko upo tayari kwa kufunguliwa kwa usalama wako.
Ninayo mm kama hiyo. Ninafanya kazi ya kuhamishwa hamishwa mara nyingi. Nikipokea barua ya uhamisho cha kwanza nafikiria nasafiri vipi na hiyo presha. Tangu nipo college nayumba nayo. Sema mpira wake umeanza kulegea. Najipanga kununua nyingine kubwa zaidi maana natarajia kupata familia.View attachment 1460626
Mpira wake utapata kwenye maduka ya vyombo vya mtumba....
 
Mpira wake utapata kwenye maduka ya vyombo vya mtumba....
Mkuu kwa maduka ya vyombo nayoyajua labda kama wameeanza kipindi hiki kuleta mipira. Mm tangu nazaliwa namkuta baba na mama wanatumia presha coocker. Baba alikuwa analalamika sana kwenye kununua mpira hasa pale presha coocker linapokuwa limetumika muda mrefu. Na mm nilipoanza kujitegemea nilienda kuishi dar.

Nilikuwa nataufuta sana mpira wa presha coocker hapo mitaa ya kariakoo kwenye maduka makubwa ya vyombo kama sijakosea ni mtaa LIVINGSTONE sema nimesahau maana ni muda sana tangu niondoke hilo jiji la lawama.
 
Mmhh unapikia samaki kwenye pressure cooker SI watatoka rojo
Timing. Afu presha coocker kitu kikisha chemka kikaiva mvuke unakuwa mwingi na safety pin unaona inainuka juu na vizibo vyake vinaanza kuzunguka na kupiga kelele.
Natumia dakika 8 hadi 10 kuivisha samaki na sijawahi kutoa rojo hata siku moja.
Nahisi presha coocker imesababisha mm kuchelewa kuoa. Maana naliona kama mke wangu kwenye kupika.

Napika maharage kitu kinatoka standard. Napika wali kitu safiii. Napika nyama, samaki, viazi, tambi, makande, mahindi ya kuchemsha yaani mm chakula chochote cha kuchemsha sijawahi kukichemsha zaidi ya dakika 20.
Fanya timming tu presha coocker utaipenda.

Na hii ni bonge moja la PHYSICS wanaoijua ADIABATIC CHANGE waliosoma mambo ya THERMODYNAMICS huwa tunaielewa sana presha coocker.
 
.nipo napikia kande apa na jana nlipikia ndizi nyama

๐Ÿ…ผ๐Ÿ…ธ๐Ÿ…ป๐Ÿ…ธ๐Ÿ†ƒ๐Ÿ†๐Ÿ†ˆ ๐Ÿ…ถ๐Ÿ…ด๐Ÿ…ฝ๐Ÿ…ธ๐Ÿ†„๐Ÿ†‚
 
.nipo napikia kande apa na jana nlipikia ndizi nyama

๐Ÿ…ผ๐Ÿ…ธ๐Ÿ…ป๐Ÿ…ธ๐Ÿ†ƒ๐Ÿ†๐Ÿ†ˆ ๐Ÿ…ถ๐Ÿ…ด๐Ÿ…ฝ๐Ÿ…ธ๐Ÿ†„๐Ÿ†‚
Safi...nami badae kdg ntaipikia mchemsho wa ndizi nyama,ngoja hang over ipungiue kdg
 
Back
Top Bottom