El Manamber
New Member
- Jan 29, 2025
- 1
- 1
Habari za muda huu Wana JF , Mimi ni mgeni humu Nina mpango wa kusoma short course za ubaharia pale DMI chuo Cha bahari , changamoto yangu nawaza baada ya mafunzo seatime nitapewa na chuo au nitatafuta mwenyewe?. Mwenye ujuzi anisaidie .