CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Simple usiwapeleke wa kwako, just simple. Waache wengine wapotee njias. St Francis, Marian, Feza and the like zote ni bure! ni mbovu kuliko KayumbaKwanza naomba mnivumilie wale nitakaowakwaza. Nataka nizungumzie kuhusu elimu yetu ya msingi haswa kwenye hizi English medium schools ambazo tumetokea kuziamini sana.
Hizi shule zinaua elimu ya nchi kwa sababu kubwa zifuatazo.
1. Watoto wanafanyiwa mitihani ya ndani mpaka ya mwisho. Mitihani ya ndani inafanywa na walimu ili kuwaonyesha wazazi kuwa watoto wanafanya vizuri, hii inavutia biashara ya shule. Pia mitihani ya mwisho haswa ya standard 4 na 7 inafanywa chumba cha mtihani yote ni sababu matokeo mazuri yanaitangaza vizuri shule.
2. Walimu wa kigeni haswa Wakenya na Waganda, hawa ni tatizo kubwa sana kwenye elimu yetu, najua hawa watu wa huko ni wazuri sana kwenye lugha ya kingereza hivyo hata wamiliki wa shule na wazazi wanawapenda sana, mwanzoni waliingia kama walimu wa English na science kidogo, ila sasa wanafundisha mpaka somo la kiswahili. Unashangaa mwalimu wa geography kutoka Kenya hajui hata ziwa Manyara lipo wapi, hajui hata kama Tanga ni jiji.
Mwalimu wa civics hajui hata TANU wala ASP, hamjui hata Waziri kawawa. Mwalimu wa history hajui hata Amboni caves ipo wapi. Hapa unategemea nini zaidi ya mtoto asiyejua vitu.
3. Watoto wanakaririshwa kama kasuku.
Matokeo yake ni nini.
Watoto wanamaliza elimu ya msingi wanaongea na kuandika kingereza lakini hawana uelewa kiundani wa mambo mengi. Fanyeni majaribio ya kuwatahini watoto majumbani muone matokeo yake mlinganishe na wanayopata darasani.
Watoto wanapofika secondary schools wanaonekana wameshuka baada ya kuachwa mbali na wanaotoka Kayumba. Kiukweli hawajashuka ila hicho ndio walichovuna huko English medium schools baada ya kulipia mamilion ya pesa.
Mwisho, Naomba Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye hizi shule japokuwa nyingi ni za wakubwa. Kuna walimu wengi sana sio walimu ila ni waongea kingereza wazuri hawa ndio wanageuka walimu wa kutumainiwa bila kujali content zao.
Hizi ni shule ni bomu ambalo wazazi wengi na Serikali litawalipukia.
kimbembe kinakuja pale tu mnapokutana Advance au chuo Hapo utaona aliezoea kutafuniwa anavyohaha akicheza kidogo tu either kwa kumpoteza mzazi bax ila kuna watoto wa mbwa mtu anapga dili zake anajisomesha na class kama kawa anakimbizaKama huna fedha za kupeleka mtoto English medium acha umbea omba msaada ili na mwanao akasome huko!!! Maana marafiki zake sio wale wanaogawana pipi moja, andazi moja, kiatu kimepasuka upande, nguo haijanyooshwa pasi!!! Tafuta pesa umtafutie mwanao marafiki wenye upeo mkubwa na sio marafiki wa mtaani wa kuchezea vumbi na midoli!!!! Watoto wa English medium hukuti amechafuka kama watoto walio katika shule zetu tulosoma enzi hizo!!! Sasa elimu ni pesa !!!!
Hehe mkuu umenikumbusha mbali sanaaa... Miaka miwili iliyopita nilikuwa nimetoka malysia kusoma,, nilikuwa huko kwa miaka kadhaa,, nilipo rudi nikakuta mdogo wangu yupo darasa la sita hizi shule ya medium.. Yaaani wamekalilishwaa sanaa aisee,,, one day tulipishana na kauli na huyoo mtoto maaana ni ka jeuri hatari na si unajua hivi vilast born vilivyo...
ââ nikamwambia norah bring ur ASS hereââ
Alinijibu i dnt have a âdonkeyâ
Hehehehe
mkuu naona bado unanisimulia tamthilia tu,, anyway kama wewe una uwezo huo mshukuru mungu tu watanzania wengi hatunao
Aisee ni kweli kabisa mi nimefundisha moja ya shule hizo. Walimu wengi wanaotoka Kenya na Uganda ni form four liver tu but wanafoji vyeti Vya ualimu. Kuna mwalimu alikuwa mgeni akapewa civics kuna siku alinishangaza tulikuwa tunaangalia sherehe za muungano live (nilikuwa nakaa naye) akaniambia nimuonyeshe kikwete....nilichukia sana. Yaani alikuwa hajui chochote
Hehe mkuu umenikumbusha mbali sanaaa... Miaka miwili iliyopita nilikuwa nimetoka malysia kusoma,, nilikuwa huko kwa miaka kadhaa,, nilipo rudi nikakuta mdogo wangu yupo darasa la sita hizi shule ya medium.. Yaaani wamekalilishwaa sanaa aisee,,, one day tulipishana na kauli na huyoo mtoto maaana ni ka jeuri hatari na si unajua hivi vilast born vilivyo...
ââ nikamwambia norah bring ur ASS hereââ
Alinijibu i dnt have a âdonkeyâ
Na wewe nawe hicho cha kusema hapa?! Unatukana mtoto halafu unajichekesha? Ulitegemea shule afundishwe hayo matusi? Hiyo ni kazi yako wewe na wajinga wenzio!!
dah hapo kwenye kukaririshwa kama kasuku nakubaliana na wewe asilimia 100. Kuna siku nilikutana na watoto wa shule moja international nikawa nawauliza maswali, yaani ilikuwa ni kioja. Wote majibu ni sawa na yote siyo sahihi, kisha wote the way wanavyoanza kujibu maswali wote ni sawa. Yaani hizi elimu zimekuwa kituko sasa.
Simple usiwapeleke wa kwako, just simple. Waache wengine wapotee njias. St Francis, Marian, Feza and the like zote ni bure! ni mbovu kuliko Kayumba
Inaitwaje? Mpishi aweza kuwa na profession mbili.Hakika umenena kweli tupu.
Watoto wetu wanachokizungumza kwa kiingereza ukimuuliza kwa kiswahili hajui maana yake. kwa ufupi wanakaririshwa. Pia walimu wengi sio Walimu kiuhalisia bali ni wazungumza kiingereza hivyo hutoa content mbovu kwa wanafunzi.
kuna shule moja wilaya ya same, mpishi aligeuka kuwa mwl wa Jiografia
Inaitwaje? Mpishi aweza kuwa na profession mbili.
Hehe mkuu umenikumbusha mbali sanaaa... Miaka miwili iliyopita nilikuwa nimetoka malysia kusoma,, nilikuwa huko kwa miaka kadhaa,, nilipo rudi nikakuta mdogo wangu yupo darasa la sita hizi shule ya medium.. Yaaani wamekalilishwaa sanaa aisee,,, one day tulipishana na kauli na huyoo mtoto maaana ni ka jeuri hatari na si unajua hivi vilast born vilivyo...
ââ nikamwambia norah bring ur ASS hereââ
Alinijibu i dnt have a âdonkeyâ
Hehehehe
Tukubaliane tu kwamba fani ya ualimu imevamiwa. Bongo kila mtu anawezakufundisha sio msingi wala sekondari. Ukijua kusoma na kuandika basi ww mwalimu tayari.
Hapo hakuna tamthiliya ni uvivu wako tu yani
Kwa hilo simlaumu mtoto. Unataka aanze kujua Ass kama unavyojua wewe??
hili taifa lilishakufa....eti leo CCM wanawadanganya na mzee wa kukariri magufuli alafu mijitu inashangilia....mnaamini magufuli atafanya lolote chini ya mwongozo wa CCM...mkiamini Magufuli atakuwa huru tu kuamua.....tatizo nchi hii ni CCM.....si mtu....Watanzania watambue hilo.....tusaidiane kuelimishana hivyo....