Happy nation
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 679
- 597
Uongo mtupu huu
It is so sad!.kuna watoto wa international school flani hivi ipo Arusha nilishangaa kuona eti hawajui ng'ombe ana miguu mingapi, moja kwa moja ikanipa picha kuwa yawezekana hata ng'ombe mwenyewe hawamjui... inasikitisha sana.
Kweli sio zote...Ila asilimia 95 zinafanya haya nayoyasema..Nimekuwa mwalimu kwenye hizi nazijua in and out..Wewe unasema zinawajenga watoto ndio wazazi wengi mnaaminishwa hivyo, zinawajenga kwenye nini labda?? wewe unazosema zinawajenga zipo ila sio hizi zenye wateja wengi..Wengi hapa hawawezi peleka hizo shule eg intl sc of Tanganyika, Feza nk zipo chache...
Mjiulize ile St Marrys iliyokuwa na watoto bora kabisa kwa nini imekufa? Ile product yake si mmesoma nayo mbeleni je walikuwa bora kama mlivyoaminishwa? ...Serikali iingie kuzikagua kiukweli kama ilivyofanya New Ambassador international ya zamani,hiyo shule ilikuwa ndio shule namba moja kitaifa kwa primary level ilipotegewa mtego ikakutwa ni haya nayoyasema...Leo ipo wapi?
Tanzania imejaa watu wengi wenye mtazamo kama yako.
1.hamkubali kuwa kenya na uganda wako mbele kielimu
2.hamkubali kuwa hata watumishi wa kitanzania ni wavivu na wezi ndiyo maana makampuni ya nje inapenda kuajiri wakenya na waganda.
3.kama mnaamini kwa dhati kuwa mko sawa kielimu kwa nini msifanye kama european union raia wa east africa waruhusiwe kufanya kazi kokote bila permit?halafu muone hizo degree zenu za tumaini university mtapeleka wapi?wako poor kwa hata grama.
4.hamkubali baba yenu wa taifa alikuta elimu nzuri kutoka ukoloni akavuruga.
5.viongozi wote wa serikali ya tanzania kwa nini watoto wao hawakuwaacha wasome shule ya kawaida kama walikuwa wanaamini kama nyerere?ulikuwa ukienda st constantine na arusha school unakuta watoto wa vigogo wote from nyerere family,karume,sokoine.kama wakina namelo sokoine,amina na halima karume,kevin na matare nyerere.
6.Tanzania hamna tabia ya kusoma ni porojo nyingi ukipanda basi au treni nchi zenye tabia ya kusoma utakuta abiria karibu wote na vitabu wanasoma,tanzania porojo njia yote.
7.raia wenye uwezo wengi watoto wao wanasoma kenya au uganda na hao ndiyo wako kwenye uhalisia (reality)
8.hizo shule zenu za serikali ya waalimu waliofeli ndiyo inauwa elimu ambayo ina wanafunzi asilimia 95 nchini
Ziwa manyara sijui ASP inakusaidia nn kitu language mkuu watu tulikuwa tunajua miji mikuu na majiji yote makubwa sasa hivi ngeli Ni tatizo achana na civics mkuu tapika yai vizuri kwanza
mkuu watoto wanasoma arusha hawamjui ng'ombe? ingekuwa mtwara ningekubali kwa 40% lakn arusha nakataa kwa 99%kuna watoto wa international school flani hivi ipo Arusha nilishangaa kuona eti hawajui ng'ombe ana miguu mingapi, moja kwa moja ikanipa picha kuwa yawezekana hata ng'ombe mwenyewe hawamjui... inasikitisha sana.