Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

Jamani naona PM zimekuwa nyingi, sina video na wala siwezi kumtumia yeyote vilevile sihitaji kutumiwa.

Nyie wenyewe hapo nimewaambia hatujui kilichomkuta kijana mimi mnanitakia nini?
 
Ni kweli huyo kijana mfuta tattoo alifanya kosa kama hii story ni ya kweli, ila kijana alitakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa mujibu wa sheria ili ahukumiwe kwa mujibu wa sheria,
Vyombo husika vitumie hii tetesi kwenye huu uzi,kufuatilia huyo kijana mfuta tattoo yuko wapi na nini kilimpata,

Kosa moja halihalalishi kosa lingine.
Unatetea tuu.
Kuna kitu nikwambie mkuu mambo ya sheria hayo bana aaaaaaahg jau jau tuu..

Sasa hvi ni body to body
Live to live

Ndo mana mimi mara nyingi nikizinguana na mtu humu, namtafuta nampa location tunakutana kama kuzichapa tunazichapa live ili heshima iwepo..

Mambo ya sheria end of day attention inakua kubwa alafu wananchi wanajawa na huruma
 
Lazima mjifunze kwa watu waliofanikiwa ambao wameonesha kwa vitendo unaweza usiwe malaya na ukafanikiwa kimaisha.

Beyonce amedate na Jay z akiwa na 18 yrs mpaka sasa yupo around 40+

The same zuchu she is very smart ,intelligent and visionary.

Irene uwoya sasa anajiita Mama Mchungaji MTU ambaye ametumia robo tatu ya maisha yake katika umalaya. Na anataka na sadaka.
Okay, niambie huo usmart wa Zuchu ni upi?

Kudhalilishwa kila siku na Diamond? Ungependa dada yako au binti yako aje kuwa na mwanaume wa aina ya aliyekuwa naye Zuchu?
 
Okay, niambie huo usmart wa Zuchu ni upi?

Kudhalilishwa kila siku na Diamond? Ungependa dada yako au binti yako aje kuwa na mwanaume wa aina ya aliyekuwa naye Zuchu?

Umewahi kumuona zuchu anatumia mwili ili kuishi ?

Huyo kawazidi kila kitu hao Wasanii wakike kuanzia Elimu, kujitambua ,na kusimamia ndoto zake.
 
Safi sana..
Hiyo nzuri mkuu
Umalaya haulipi na biashara kichaa watu waliofanya umalaya Kama Kazi ndo hao sasa soko limeshuka MTU anaokoka ili atangaze injili .

Hata yule shoga maarufu aliona soko lake limekata sasa kaamua kula sadaka.

MTU anabidi kujitambua at the early stage ukiwa na 15+ yrs unabidi Ku -embrace cleanest lifestyle .
 
Unatetea tuu.
Kuna kitu nikwambie mkuu mambo ya sheria hayo bana aaaaaaahg jau jau tuu..

Sasa hvi ni body to body
Live to live

Ndo mana mimi mara nyingi nikizinguana na mtu humu, namtafuta nampa location tunakutana kama kuzichapa tunazichapa live ili heshima iwepo..

Mambo ya sheria end of day attention inakua kubwa alafu wananchi wanajawa na huruma
Mambo muhimu unaandika kimasihara,halafu mtu akitekwa,ndio nyie hua mnapiga kelele kua,kama kakosea kwanini asifikishwe Mahakamani? kila mtu akijichukulia sheria mkononi,hii Dunia itakalika kweli?
 
Hivi mwanamke akiwa kalala usigizi kama kafa, utamu wake si unakuwa kama hakuna kitu, maana hajielewe, hii ni sawa na kulala na maiti, huu ni ubakaji mbaya sana
Kwani haiingii?
Cha msingi imo basi unazungusha mwenyewe unautupa chap tu ukiichomoa ukaliangalia toto lilivyonona chuma kinasimama tena unaichomeka unakitafuta cha pili!
Sema itakuwa dogo alijisahau akajisnap ili akawaonyeshe masela wake kijiweni kama ushahidi ili waamini kwamba amekojolea kwa staa mkubwa!
(Kwa vijana tuliokulia us wazi mnaelewa vile kijana alipewa cheo gani na masela baada ya kuwaonyesha ushahidi)
 
Ukishayaleta hapa utanufaika na nini? Acha kuumiza watu mkuu pia jitahidi kuachana na maisha ya watu.

We si ulifunga swaumu wakati wa Ramadhani? Dini hairuhusu haya ufanyayo.
You’re definitely on the wrong page, hii ni page ya udaku if you don’t fit in zipo pages za kilimo na ufugaji pamoja na nyinginezo dull pages so to say.
This page ni kwa ajili ya relaxation.
 
Zuchu hajatoka mtaani Mkuu, ni mtoto wa familia kubwa ya muziki.

Kuna asiyeijua familia ya Kopa?
Mazingira ya zuchu ni Kuku wa kienyeji na kaka yake akiharibiwa mapema RIP.

So ile kutoboa na kufanikiwa na kuwa Elimu na kuamua kuishi bila kujiuza lazima mjifunze kwake
 
Mambo muhimu unaandika kimasihara,halafu mtu akitekwa,ndio nyie hua mnapiga kelele kua,kama kakosea kwanini asifikishwe Mahakamani? kila mtu akijichukulia sheria mkononi,hii Dunia itakalika kweli?
Mkuu sikatai sawa ila kabla ya kufikishwa mahakamani lazima apate dozi kwanza mkuu...
Unaongea tuu ila.kuna mambo uki experience utaelewa jinsi gani inauma..

Mi now nikamate mwizi alafu nisumbuke kwenda nae polisi....... Nita deal nae kwanza kuhakikisha kwake kituo cha polisi ndo anaona kuna usalama zaidi
 
Back
Top Bottom