Namna chuma ulete wanavyofanya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna chuma ulete wanavyofanya kazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hengo, Oct 31, 2012.

 1. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikisikia malalamiko ya watu wengi juu ya kushindwa kuelewa namna pesa zao zinavyo isha bila kuleta manufaa ya msingi wakati wakiwa makini katika matumizi ya kawaida.

  Aidha nimesoma post ya mwanaJF mmoja analalamikiwa kuwa watu wengi humkopa kila mara.

  Sasa naomba kujua kutoka kwenu wakuu chuma huanyaje kazi na wanawezaje kuchuku pesa yangu bila mimi kujua na hatimaye kujikuta naishia pesa bila kujua matumizi ya msingi niliyotumia?Naomba watalaamu mnisaidie tafadhali
   
 2. m

  masagati JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  ninavyo jua mimi kuwa usipo kuwa mtu wa mungu pesa ina tumika ovyo kwani hujitokeza matatizo yasio isha na kufanya hela isikae .kuwa mtu wa mungu ni kupeleka hela kanisani au kusaidia wasio jiweza au mwenye shida ina saidia kulind apesa yako.
   
 3. epson

  epson JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 508
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  is MMM a right place for your topic?
   
 4. B

  Bepali Senior Member

  #4
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ukiwa kama na laki moja yeye anachomoa sh elfu 10 kila siku.
   
 5. peace2007

  peace2007 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 214
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa mtazamo wa kidini kiufupi Chuma Ukete ni pepo,ila halichukui pesa physically bali linachofanya ni kuwa kila unapopata pesa yanatokea matumizi mengi ambayo hukuyapanga na unajikuta mwisho wa siku umetumia pesa nyingi bila mpangilio......ila umezitumia mwenyewe bila mpangilio maalumu......
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  chuma ulete ni pepo na linachukua pesa zako physically kwa njia ya giza. unakuta uliweka pesa mahali fulani, kesho ukihesabu zinakuwa zimepungua au huzikuti kabisa na hapo ndipo utakapo kamata wenzako na kudhani wamekuibia.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Saa nyingine huu uchumi wa jk unaokua kwa kasi ya mwanga unawaathiri mnamsingizia shetani. Ukiingia dukani na laki unanunua mikate na tomato.sauce tu hela yote imeisha.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  shetani atakoma.....ukithubutu kuchenji 10,000 unashtu,ia umebakiwa na 300!!!!!!

  Kwa sisi tuliokaa uzaramuni inaaminika chuma ulete ni kama dawa au jini or whatever lakini anakwiba dukani au sehemu yako ya biashara na kumprlekea mzee mmiliki wa hiyo chuma ulete.

  Na iliaminika kuna aina mbili....
  1. Kuna wale wazee wacheza drafti au washinda kwenye kahawa muda woote toka asubuhi mpaka jioni, ikifika jioni ana hela anaenda kununua unga sukari mafuta haijulikani hela katoa wapi.....

  2. Aina ya pili mtu anakuja dukani kwako labda na coin au noti anakwambia anataka labda sigara au sukari ukimpa hela yake ukiichanganya na hela nyingine tu umeumia, pesa zako za mauzo ya siku hiyo zitapotea kimiujiza...

  Ila zooooooote binafsi miaka yote niloishi nao huku pwani sijaprove sasa wao sijui wameprove vipi
   
 9. H

  Helios JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  hizo ni excuse za kiswahili, mbona hizo tunazisikia uswazi tu na sio masaki au mbezi beach. nlikuwa na kabiashara mbagala wakaanza stori hizo za hela zinapotea kwa chuma ulete, nkawaambia zinaibiwa wasilete ujinga, tukabadilisha lock na sehemu ya kuweka hela it stopped.
   
 10. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #10
  Nov 2, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,601
  Likes Received: 2,241
  Trophy Points: 280
  mimi mtaalam wa hii kitu.kuna fomula zinatumika ambazo ziwezi kuziweka hapa.lakini unaweza kuona haka kajamaa hapa..:shut-mouth:mara nyingi ndo tunakatumia
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,181
  Trophy Points: 280
  Mali bila daftari, hupotea bila habari.
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Jirani yangu ni mtaalamu wa kutengeneza chuma ulete, pia ana kinga dhidi ya wezi wa chuma ulete
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  na hapo ndipo mzizi wa fitina ulipo mkuu...mengine ni mbwembwe tu
   
 14. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Mkuu hiyo kitu ipo kweli wala si uongo, hata huko masaki ipo ila mara nyingi kwa sababu wahusika wa masaki wanapesa huwa hawalalamiki sana. Pia ni kweli kwamba watu wezi wanaweza kutumia mwanya huo wa chuma ulete kuiba huku wakisingizia chuma. lakini swala la mapepo kuiba pesa na kwenda kuwapelekea wasiofanya kazi yoyote isipokuwa kuyapa matambiko na kafara lipo kweli. Watu wanashuhudia wazi wazi, wale ambao wameshawahi kufanya hivyo na hata wale waliopata kufanyiwa hivyo. Kama ungekuwa A-town ningekwambia sikiliza redio safina kila siku ya alhamisi saa 4 usiku hadi saa tano au marudio jumapili saa tatu usiku hsdi saa nne.
   
 15. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,310
  Trophy Points: 280
  Pesa unywee ulabu,kisha usingizie chuma ulete,mimi binafsi nina matumizi mabaya ya fedha,ila siiamini tu hiyo kitu(chuma ulete
   
 16. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  is MMM now days equal to MMU?
   
Loading...