Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria, unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wa kuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?