careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
- Thread starter
-
- #41
Tatizo nadhani siyo tatizo la siku moja hili.. na kazini kwangu kunahitaji sana ubunifu wangu... nachukia kwasababu natakiwa nifanye kazi na akili imesimamaNikiwa kwenye hali kama yako na Nina bando huwa naingia YouTube..naangalia DIY ..naangalia music..comedy nacheekaaa..siku imepita hiyo.
😳Huna wakuzitoa😜Zimejaa mkuu..sijui kwakua mie ke?haa
Pole Sana.. jitahidi usome Sana vitabu vyenye kukusaidia katika taaluma yako.. akili itachangamka tu na Mambo yatakuwa sawa.Tatizo nadhani siyo tatizo la siku moja hili..na kazini kwangu kunahitaji sna ubunifu wangu...nachukia kwasabu natakiwa nifanye kazi na akili imesimama
Hapa ndio kijiweni kwetu, wewe njoo tupige story kama hivi ulivyofanya....Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Haaaahaaa naachaje sasa..pombe inachangamsha akiliFanya yote lkn pombe usiache ndugu
Hayupo kwa muda[emoji15]Huna wakuzitoa[emoji12]
Niwe tena mchepuko 😁😎Hayupo kwa muda
Sifa unazo?Niwe tena mchepuko [emoji16][emoji41]
Sifa ninazo labda kama wewe utataka ambazo za nyongezaSifa unazo?
Well..inboSifa ninazo labda kama wewe utataka ambazo za nyongeza
Nimecheka sanaFanya yote lkn pombe usiache ndugu
Lol[emoji15][emoji15][emoji15]
Eti 🤔Well..inbo
Inbox yangu ipo kwaajil yakoEti [emoji848]
Inbox yangu ipo kwaajil yako
Inbox yangu ipo kwaajil yako
Usilazimishe kazi wakati umechoka, lala mapema kila siku saa 3 uwe umelala na kuamka saa 12 asubuhi. Usikae nyumbani jioni kuanzia saa 12 tembea au nenda mahali pa kuburudika kama uwanjani au matembezi tu. Usikae muda mrefu kwenye computer, usizidi masaa 6 kwa siku. Usile sana usiku, acha ulevi kama ni mlevi. Chukua likizo angalau wiki 1 bila kazi yoyote.Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Yaan wiki nzima sikua nyumban nimerudi jana usiku nikasema leo mapema naelekea kazin...huwezi amini nimeshinda nimechokaUsilazimishe kazi wakati umechoka, lala mapema kila siku saa 3 uwe umelala na kuamka saa 12 asubuhi. Usikae nyumbani jioni kuanzia saa 12 tembea au nenda mahali pa kuburudika kama uwanjani au matembezi tu. Usikae muda mrefu kwenye computer, usizidi masaa 6 kwa siku. Usile sana usiku, acha ulevi kama ni mlevi. Chukua likizo angalau wiki 1 bila kazi yoyote.