Namna bora ya kurefresh akili

Nakuelewa unachosema
Alafu ukute watu ni wale wale hawana mipango mipya Wala mawazo mapya...tunarudi Kule kule umasikini tulionao unatufajnya tudumae...wenzetu anaenda mbaliii....
 
Akili ikiwa imechoka huwa napendelea kwenda hotel zenye ghorofa nyingi nakaa upande Balcony naagiza bia moja au mbili, nikiwa naangalia ile view kwa chini huwa narelax mnooo... nikimaliza bia nashuka zangu narudi home nalala
 
Akili ikiwa imechoka huwa napendelea kwenda hotel zenye ghorofa nyingi nakaa upande Balcony naagiza bia moja au mbili, nikiwa naangalia ile view kwa chini huwa narelax mnooo...nikimaliza bia nashuka zangu narudi home nalala
Ukirudi kwako unakua mpya?
 
Ikitokea hali hiyo, vaa raba au viatu vyepesi, toka nyumbani kwako tembea kwa miguu kwa muda kama lisaa au zaidi then rudi nyumbani, akili itakuwa refreshed
 
Nikiwa kwenye hali kama yako na nina bando huwa naingia YouTube.. naangalia DIY.. naangalia music..comedy nacheekaaa..siku imepita hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…