Namna bora ya kukata roho

Chochote kinachojiinua juu ya elimu ya Mungu ni upotofu. Huu ndo unaitwa upepo was elimu na kutafuta walimu makundi makundi. Nashangazwa na wasomaji wengine wa biblia wanachukuliwa na huu upepo...au ndo ile strong spirit of DELUSION inafanya kazi kwa kiwango cha juu sasa. CHRISTIANS TUAMKE GIZA na NURU havina SHIRIKA ABADAN.
 
Uzi wa manilla

Jr[emoji769]

Those are Conspiracy theories.Have you ever died? The only one who knows is the one who have ever died and came back to life.And they are few,recorded in the Bible.
To get the exact answer we should enquiry God. His answer is : Genesis 3:19, Ecclesiastes 9:5-10, Psalms 146:4, Ezekiel 18:4,John 11:11
 
Ni lazima na ni muhimu ufahamu kila unachofanya lakini ni lazima na ni muhimu usifanye kila unachofahamu
 
Wewe hujui nini una zungumza,
Swali kwako je una weza kuji changanya na air?
Ulishauona upepo?
Kama jibu huwezi hi changanya na air na kama hujawai ona upepo na ukaugusa basi we mwongo na hujui unaandika no.
 
Aisee haya.... Sasa unaniongelea mimi kujichanganya na air kwa mtazamo gani?
 
Kama huoni huwezi elezea usicho kiona.
Pia roho ni theory ambayo Haina practical proofs
 
Hivi mungu akichoma wadhambi moto atapata faida gani? Uwafufue, kwanza uwahifadhi roho zao kwa kisasi alafu aje kuwafufua aandae Moto
Hasamei tu?
 
Kama huoni huwezi elezea usicho kiona.
Pia roho ni theory ambayo Haina practical proofs
Kama nikikuuliza una akili automatically utaniambia unazo ila nikikwambia nionyeshe utashindwa... Je hapa tunaweza kusema huna akili?
 
Bila shaka unafanya kazi mortuary
 
How do you know that the stories aren't fictional?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…