Namna bora ya kukata roho

Ueleweke vip mshana...mbona unatuchanganya ulikuwa unamsadiaje huko kwenye ulimwengu wa roho?ulikuwa unampa maji au
 
Ueleweke vip mshana...mbona unatuchanganya ulikuwa unamsadiaje huko kwenye ulimwengu wa roho?ulikuwa unampa maji au
Hapana na kamwe usijaribu kumpa maji mgonjwa mahututi
 
hivi mtu anaefanya meditation vzr anaweza kulogwa na wanga wa dunia hii?nimewahi fanya meditation sema sina ticha ingawa naonaga nakuwa na peace of mind sana ila sasa sipendi kujakuwa mshirikina nataka kufanya meditation ili kulinda positive energy yangu nisidhulike na vitu vby na mabaya ya dunia hii,is it possible?
 
Ni ngumu sana kwakuwa unakuwa na self defense tayari
 
Daah, we n mtata zaidi ya kim - jon nam
 
Daah, we n mtata zaidi ya kim - jon nam
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Supper narrative story
 
Mchana naomba nikuulize
1:unazungumziaje suala la siku za mwisho kwa ujumla. Hapa namaanisha siku ambapo ni mwisho wa uhai wa kila mmoja
2: Kwa mtazamo wako jehanamu kwa waovu ipo ??
Na mbinguni je, ni kitu really??
3; Dini ina maana gani kwako
4: Nimeanza kuwa na wasiwasi na vitabu vya Dini na Dini kwa jumla. Unanishaurije
Asante
 
Nitarejea
 
pedama soma katikati ya mistari nimekujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…