Namna bora ya kukata roho

mzee mbaba mshana huwa naelewa sana nyuzi zako ila kwa wale ambao wanadhani kuwa mambo ya meditation ni uchawi nadhani wamelost inabidi wajitafute tena ili tuweze kwenda nao sawa hapa. 😀🙂
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji123] [emoji123]
mshana najifunza vitu vingi sana kutoka kwako haswa haya mambo ya spiritual


Jr[emoji769]
 
mzee mbaba mshana huwa naelewa sana nyuzi zako ila kwa wale ambao wanadhani kuwa mambo ya meditation ni uchawi nadhani wamelost inabidi wajitafute tena ili tuweze kwenda nao sawa hapa. 😀🙂


[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji123] [emoji123] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]



Jr[emoji769]



Jr[emoji769]
 
Naomba elimu za mantra hizo za kusaidia wakati wa roho ikitoka
 
Mshana naomba msaada katika muktadha huu...Mara nyingi nikiwa nimelala kuwa naota nimesafiri kwenda sehemu Fulani Mara nyingi huwa nakuwa sikufahamu huko nilikokuwa naenda ...pia hukutana na watu huwa nazungumza nao kabisa lakini nikiwa katika hali ya usingizi ..basi Yale mazingira na wale watu ambao nilishakutana nao ndotoni ...hupita kipindi Fulani....katika hali yakawaida tuu nikiwa macho naweza kutana namtu kiuhalisia nakua namjua mpaka mazungumzo yake ambayo ataongea...ingawa sijawahi muona au kuzungumza naye kabla..
Yaani anakuwa si mgeni machoni pangu ...je hii hali ni sehemu ya astral meditation?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uhalisia fulani hututokea ndotoni nitakuja na post yake kamili

Jr[emoji769]
 
Kuna kila dalili ulikuwa ni mfugo wa hao watu katika ulimwengu mwingine, tena mnyama mwenye intelijensia kubwa mathalani nyani, mbwa n.k

Sasa baada ya kuwa umerudishwa ulimwengu huu kama mwanadamu unakutana na waliokuwa wakikufuga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…