Namna bora ya kukata roho

kumbe kunauwezekano wakumsaidia mtu asielekee njia mbaya katika ulimwengu waroho... ila lazima na mimi nijitahd kuingia ulimwengu wa roho bila kufa hii naiitaji
Lakini akiwa bado hajafa baada ya hapo ni story za faraja tuu
 
Kaka mshana naomba nikupe assigment then tutakutana one day... Ila sjui kama unawezaga kuconcentrate na story za wazungu. Tafuta tv series inaitwa Dark. Inahusu story ya present, past na future! Naona kwenye story hapo uliingia ulimwengu wa kiroho kimya kimya... Mmi kwangu naona as ushatravel to ur future aisee[emoji85]
 
Kwenye hiyo series nimekuwa confused kisa kukosa uelewa wa hali ya juu, juu ya haya mambo... "FUTURE INFLUENCE PAST" Kongole Jr.
 
Pouwa
Kwenye hiyo series nimekuwa confused kisa kukosa uelewa wa hali ya juu, juu ya haya mambo... "FUTURE INFLUENCE PAST" Kongole Jr.
Umeshasoma kitabu cha A girl from tomorrow? Nadhani hiyo movie imeanzia kwenye hicho kitabu kwakuwa ni cha kitambo.. Mimi nilikisoma way back 90's
 
Pouwa

Umeshasoma kitabu cha A girl from tomorrow? Nadhani hiyo movie imeanzia kwenye hicho kitabu kwakuwa ni cha kitambo.. Mimi nilikisoma way back 90's
Ooooh sijui nitakipata google kweli.. Ngoja nikitafute...

Pia kama utaweza hebu ingia chimbo kuhusu TIME TRAVEL... Is it existing or is just myth or story telling[emoji4]
 
Ooooh sijui nitakipata google kweli.. Ngoja nikitafute...

Pia kama utaweza hebu ingia chimbo kuhusu TIME TRAVEL... Is it existing or is just myth or story telling[emoji4]
Pouwa asante sana
 
Kuna kitu nimejifunza hapa.
1.Dini ni imani tu lengo ikiwa ni kuifanya dunia kuwa na amani.
2.Vitabu kila imani ina vitabu vyake na ina viheshimu hivyo huwezi kumlazimisha mwenzio aamini chako.
3.Kila kiumbe kina Mungu wake.
4.Ulimwengu wa roho upo hii haina shaka na kila mmoja anao uwezo wa kutoka ndani ya mwili wake akiwa ktk roho na hata ukitaka ku-practice hilo unaweza ni maamuzi na kujiandaa tu kisaikolojia..
Na tena unaweza kabisa ukauona mwili wako uliko uacha hii si kwa uchawi wala dawa bali ni kiroho zaidi.(unaweza nisieleweke hapa lkn ndio ukweli))
5.Tusiwe wepesi kukanusha jambo bila kufanya utafiti au kujifunza kikubwa kuwa mpole ueleweshwe uliza ujibiwe.
Mwisho nawatakia amani ktk roho na mwili.
 
Mtu anapofariki hulala ktk usingizi mzito, ndio maana biblia hutuambia kuwa, 'akafa akalala na baba zake' hapo zinasubiri hadi siku ya hukumu atakaposhuka 'mwana wa Adamu' (YESU KRISTO) kuja kuchukua walio wake (watakatifu) kasha wale wengine kutupwa jehenam.
 
Ways of a great thinker... [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Maisha unayoishi sasa yanachora ramani ya mwisho wako... Chagua upande sasa ili uweze kuchora ramani yako vema.. Jijulishe bila woga kuwa upande wangu ni huu
Jee ukiwa upande wa shetani unaondoka vizur au.
 
Kinachokufa ni mwili uharibikao, kilalacho ni roho, roho haifi... Kitakachohukumiwa ni software ya mwili (roho)... Mwili hauna nafasi tena kwenye hukumu kwakuwa hautakuwepo
 
mkuu
umemaliza kila kitu/ watu wanakariri vitu wanaleta huku
 
mkuu
umemaliza kila kitu/ watu wanakariri vitu wanaleta huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…