Namkumbuka sana...

Namkumbuka sana...

sekuture

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
13
Reaction score
6
Poleni na majukum ya siku nzima....

Kuna mdada nimekaa nae kwenye mahusiano kw zaid ya miaka 3 na kwa sasa tumeacha hata mawasiliano hakunaga ila cha ajabu ninamkumbuka sana hata nikiwa kwenye mahusiano mengne bado namkumbuka hata nikitumiwa msg nzuri na mpenzi mpya nahisi kanitumia yeye.....natafakar nakosa majibu mana hata nikisema nimtafute nashindwa mana baadhi ya ndugu zake walishaniambia ana mtu mwingne tayar.....Ushahuri wenu tafadhali, hapana matusi!!!!
 
Naona weye wangojea sana kuambiwa. Hapana, fanya juu chini umwone mwenyewe. Ka mlimalizana kwa ukuda, weye shuka mpe moyo wako, ka weye ndo ulilianzisha, nunua bunda la rose mkabidhi na ka memo kuwa "Am sorry" mambo ndo yaendavyo. Hakuna ugomvi usio na mapatano. Mkumbushe ya zamani
 
She's definitely still in your system.

I believe passage of time has the curative powers to make you get over her.

So give yourself time and don't try to fight the urge not to remember her.

If she happens to cross your mind, don't panic.

Just accept it and tough it out.

Over time things will get better.
 
Usikubali kumuacha unae mpenda.

ana mtu wake... still unampenda na unamtaka....

Focus akili yako kwa uliye naye..kubali tu kwamba mshaachana no way out

Kumtafuta ni kujitafutia matatizo
 
Jikaze. Achana nae. Ogopa xana kuwa na mwanamke unayempenda ivo. Utateseka. Jifunze kumsahau. Usipofata ushaur huu kuna siku utanikumbuka
Umenena kweli ndg yaan usimpende mwanamke kiasi hicho maana wengi wanaopenda kiasi hicho huambulia maumivu tu na kubaki kusema namkumbuka sana… .
 
We ndo ulimtoa naniii nini?
Wanavodai eti kunakuaga na agano kati ya mtoaji na mtolewaji, yani wanakua wanakumbukana eti. . . Inasemekana ila
Sema pole mkuu hakuna kitu kinachoboa kama kumkumbuka MUPENZI mlioachana afu ukagundua bado una hisia nae
 
kwahiyo
Jikaze. Achana nae. Ogopa xana kuwa na mwanamke unayempenda ivo. Utateseka. Jifunze kumsahau. Usipofata ushaur huu kuna siku utanikumbuka
wanawake ndo wawapende ili tuwe watumwa?
 
A real man wont let his lady go away but egotistic men lose their treasure coz of their inflated ego!!..
 
Poleni na majukum ya siku nzima....

Kuna mdada nimekaa nae kwenye mahusiano kw zaid ya miaka 3 na kwa sasa tumeacha hata mawasiliano hakunaga ila cha ajabu ninamkumbuka sana hata nikiwa kwenye mahusiano mengne bado namkumbuka hata nikitumiwa msg nzuri na mpenzi mpya nahisi kanitumia yeye.....natafakar nakosa majibu mana hata nikisema nimtafute nashindwa mana baadhi ya ndugu zake walishaniambia ana mtu mwingne tayar.....Ushahuri wenu tafadhali, hapana matusi!!!!

UNGEWEKA PICHA MKUU!
 
Kijana bado una safari ndefu mnooo...wenzio ni Mungu tu ndio alituvusha na masaibu hayo.

Usiombe ukapenda. Watu wengi wako na mahusiano ila ni 20% ndio hupenda kweli kweli. Acha tu man, mapenzi ni kama umeme its unseen..Love can be very sweet but can be very deadly.

And some fail to overcome the pain nd just end up harming themselves.
 
Huo ndio ukomavu.
Yaani ukianza pitia dhahma kama hizo, ndipo ujue kwamba umekua mtu mzima sasa.
Lakufanya......
Jipange kivingine, na kisha uendelee/uanze maisha mapya
 
Back
Top Bottom