Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
kila binadamu ana vitu vinne MWILI, ROHO, AKILI na HISIA
kwako ndugu yangu AKILI na ROHO imeshaona umeachana naye lakini HISIA bado zipo cha kufanya fuata AKILI na ROHO maana ndo kila kitu achana na hisia icontrol kabisa hizo hisia then utasonga tuu kwa nduggu