Namkubali sana Qashy Lilith

Namkubali sana Qashy Lilith

men always suffer with delilah syndrome.
 
Wewe ni kichomi siwezi kuthubutu kwanza jina lako lenyewe ni chizi
Usisikilize maneno ya maadui wangu. Hao wananipakazia mabaya kila siku. Usiwajali hao ni wivu tu. Mi nishasemwa sana mabaya na wengine wanaombea nipigwe ban milele ni wivu tu
 
LIKE itamsaidia nini?,. Watoto wazuri wanataka hela na mda wa kuingia kwenye kinyang'anyiro ndio huu... Fanya kabla wenzio hawajakuwahi oooh
Muambie huyo..Maswala ya Like na watoto wazuri wapi na wapi😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom