Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,665
- 29,945
Una "mdomo" mgumu, ni swali nimekuuliza simulizi katika zipi nilete ipi.Una kichwa kigumu, ni swali nimekuuliza sijakuambia ipi
Kichwa kigumu ni sawa kwa mwanaume.
Una "mdomo" mgumu, ni swali nimekuuliza simulizi katika zipi nilete ipi.Una kichwa kigumu, ni swali nimekuuliza sijakuambia ipi
Mimi nitajuaje simulizi ulizonazo wewe? Muhimu isiwe chai kama ile ulokunywa castle lite mwaka 1998Una "mdomo" mgumu, ni swali nimekuuliza simulizi katika zipi nilete ipi.
Kichwa kigumu ni sawa kwa mwanaume.
Hakika amekusikia mkuumazeeee Only Lilith can provide
Ngoja tuone😹Kwa nn mamy, c unajua tutakuwa na shuguli😜
shuguli yahitaji stamina, panda shuka ya daladala c unajua tena
Nihakikishe jamboPIcha ya nn tena![]()
Hapo ndo Mimi namhudumia chakula au?
Kwa hiyo mwaka 1998 hakukuwa na castle?Mimi nitajuaje simulizi ulizonazo wewe? Muhimu isiwe chai kama ile ulokunywa castle lite mwaka 1998
Wanakusingizia
Ewaah na yeye anajifanya ameshiba kwlkwl wakati tunajua ana njaaHapo ndo Mimi namhudumia chakula au?
😂😹
Kazi ipo
Naunga mkono hoja 🤣 😁Kuwa makini na ID mpya, huwa ni wale wale wa zamani wanakuja kivingine, sijamsema Lilith, nasemea ujumla.
😂😂😂Ewaah na yeye anajifanya ameshiba kwlkwl wakati tunajua ana njaa
Basi umechelewa sana Mjini. Castle Lite toka 1994 zinazalishwa.Ndio
Mimi niukimbie uzi? Hebu nitag nije kwenye uzi. Kuna vitoto vingine vipo mle vinanuka mkojo na maziwa nianze kuvijibu hivyo kweli? Hapana. Mi najibizana na watu wakubwa wenye akili na elimu. Mimi kama kupopolewa labda mtu anipopoe kwa risasi au mabomu....😁Haya majibu ungeyatoa kwenye uzi wako ili watu wakupopoe vizuri ila uliishia kuukimbia
We nitafute siku nije sehemu tukae nikupe stories kibao za kitaa na ughaibuni....utaniambia tu unataka zipi. Uta enjoy sana.na mimi wala sina makuu.Haya majibu ungeyatoa kwenye uzi wako ili watu wakupopoe vizuri ila uliishia kuukimbia