Namkubali Mugabe sana.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,505
Nimejikuta nikimwaminia sana huyu Mzee wetu simba wa Africa kutokana na yanayojiri mitandaoni.
Zipo quatations na gists mbalimbali zinazoandikwa in a funny way kisha zinam refer mugabe kama aliyezitamka.
Sitaki kuamini kama ndiye muandishi lakini
Nikiangalia wisdom iliopo katika hizi stories. Na jinsi mzee wetu Mugabe anavyozidi kung'aa kimataifa hata kuteuliwa Na Shirika la afya duniani (WHO). Nazidi kumkubali huyu mzee sana.
 
Nilisikia kama kimeota nyasi cheo alichopewa huyo jmaaa
 
Waafrika bwana, unamkubari mzee wa miaka 93 anayetaka aendelee kuonekana kijana?
Unamkubari Mzee anayetaka kigori wake ndiye akaimu madaraka ya nchi?
Unamkubari Mzee ambaye sera zake zimeangusha uchumi wa nchi yake ambayo ilikuwa ni kati ya nchi zenye uchumi bora afrika?
Labda kama unakubari hizo quotes zake kama kweli ni za kwake, hata mimi uwa ninazipenda sana zinanifurahisha na zimejaa elimu in a funny way.
 
Yohana humkubali???
Nachoweza kusema:- nahisi angekua ndio mtawala hapa Bongo nisingemkubali kama Faru john. So long nipilipili ya shamba namkubali hivyo hivyo.
 
Ni sawa . hata hao World Health organization(WHO) walimkubali hivyohivyo na kumpa ubalozi.

Umri wake sio kila kitu anaamua. Anaweza kua ni Mtu mzuri sana ila. Kwasasa ana mke anayemuendesha sana kwasababu ya Umri wake.

Africa is different.
Demokrasia ya sehemu nyingine haijawahi kufanikiwa afrika.
 
Washamvua huo ubarozi kakaa nao for just 45 hours.
Vipi ya Mugabe imefanikiwa?
Mimi siongelei demokrasia ya wazungu ndiyo maana sijawahi mlaumu Gadaff kwakuwa alileta demokrasia ya style yake na akakuza uchumi watu hawakuwa ma dhiki kama za kwetu.
Mugabe ni tofauti sasa, uchumi wa zimbabwe umeharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…