Namkubali DR Jakaya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namkubali DR Jakaya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yo Yo, Jun 15, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  -Huyu ndio raisi bora aliepata kutokea duniani
  -ndio chaguo langu na la watanzania woote
  -Dunia inampenda kama kungekuwa na cheo cha rais wa dunia basi na hakika angepata 99% vote za ndio
  -Ndio kiongozi pekee ambae atatufikisha pale watanzania wanapopataka

  Viva Dr Jakaya watanzania tunakupenda sana....chapa kazi achana na maneno ya waganga njaa wapinzani
  Ndugu watanzania napendekeza aongezewe muda tena mpaka 2020
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  -k- hii thread itadumu sana nadhani milele!
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mpaka mwaka 2020?

  Mie napendekeza tumfanye MFALME....... na Tanzania isiwe na Rais milele.....

  Baada yake yeye, tumuweke Mwanae awe Mfalme, yaani MRAJI KIKWETE.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mama Salma awe waziri mkuu wa kudumu
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mkuu mheshimiwa raisi mtukufu anapenda na wazungu wanamkubali kweli hakika nakumbia rev Tanzania ina bahati kubwa kumpata mtu huyu....lazima tujivunie
   
 6. N

  Nzogupata Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe si watanzania wote. Nadhani wewe unaishi chalinze. Matatizo yako yakutofikiria yasiwe ya watz wote. Kama washinda na kula kwake wengine twala kwa jasho letu ambalo jk wako ametufanya tulitafute jasho kwa tabu kama isivyowezekana kuokota sanduku la dhahabu barabarani
   
 7. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Kama Kikwete akiwa Rais wa dunia, Obama atakuwa Rais wa mbingu na ardhi?
   
 8. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  alieanzisha thread yupo amelewa, wachangiaji pia nao wamelewa!
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Watu kama wewe mnaompinga Dr Jakaya mna matatizo ya akili......hizi ni baadhi tu ya awards alizopata mtukufu raisi Dr JK
  [TABLE]
  [TR]
  Honour Awarded by Date of Award Reason for Award [/TR]
  [TR]
  [TD]
  • Honorary doctorate degree in Law
  [/TD]
  [TD]Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
  [TD]September 2006[/TD]
  [TD]in recognition of his dedicated public service[SUP][3][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [TD]Dr Harris Mule, Kenyatta University[/TD]
  [TD]December 2008[/TD]
  [TD]in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa[SUP][4][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  • Honorary doctorate in the science field of International Relations
  [/TD]
  [TD]Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih University[/TD]
  [TD]February 2010[/TD]
  [TD]for promoting international relations between Turkey and Tanzania[SUP][5][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  • Honorary doctorate degree of Public Health
  [/TD]
  [TD]Muhimbili University of Health and Allied Sciences[/TD]
  [TD]11 December 2010[/TD]
  [TD]for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[SUP][6][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Raisi Msikivu sana huyu kila kijiji kitakuwa na Bajaj 2!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...