Namibia pia inaondoka ICC, sisi tunangoja nini?

Namibia pia inaondoka ICC, sisi tunangoja nini?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Baada ya AK, Burundi, Gambia na wengine kama Kenya, Uganda wakipanga pia kuondoka ICC sasa ni official kwamba nchi ya Namibia pia inaondoka ICC, sasa swali la kujiuliza kwa nini nchi kama Namibia iondoke ICC? Sisi ni nani mpaka tubakie ICC? Hata Urusi wameshaamua kujitoa ICC!
 
mimi nahisi wewe haupo ICC bali uko nchini..unaanzaje kutushawishi na sisi tusio ICC kutoka ICC?..kwa vile uwelewa wako ni mdogo,utani'quote' na kutoa tusi..tafakari!!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom