nami nimeamua kujiunga!

LOCAL SPONSOR

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
385
695
heshima kwenu nyote,

naimani mko poa,baada ya kuwa pembeni kwa kipindi kirefu hatimae nimeona niungane nanyi, naimani nitajifunza mengi na tuvumiliane pale nitakapokosea kwani ugeni nao una mambo yake! asanteni nyote.
 
Karibu sana jamvini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom