Nami ni mwenzenu jamani

4 PRINCE

Senior Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
142
Reaction score
7
Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana.
 
karib sana bana. subili tukupigie wimbo wa taifa.
 
Una post 19 tayari halafu unasema wewe mgeni!angalia sana lakini karibu.
 
Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana.

Karibu sana JF!
Ila napenda kuaminia umejiunga JF ili kujenga Taifa na kuleta mawazo ya kutatua matatizo na sio KUWA tatizo!

Karibu tena!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…